The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Baba wa wote wenye mwili,mitano tena
Baba wa wote wenye mwili,mitano tena
Kikwetu kukataa mbunye ni laana kubwaDemu akinipa mbunye siwezi kukataa mana mm napenda kusaidia wahitaji
Ndiyo,wakwanza ni mimi, kama unabisha leta uone kama nitazichukuaMaswali mengine ya kitoto.. kuna mtu akipewa bilioni kadhaa atakataa?
Nini weweeee, elewa neno mzee wa asali basi eboo!Kwahiyo hapa maana yake ni ukipewa asali au kyupi
DuduMoja kwa moja bila kupoteza muda tuambie ni nini hicho ambacho pengine unakihitaji au hukihitaji ila ukipewa lazima ukichukue .Nimeanzisha uzi ila mwenyekiti ni
mzabzab akisaidiana na secretarybird
. Katibu ni Nomadix 😎
------------------------------
Binafsi nikipewa chai ya maziwa mahali popote pale lazima niinywe.
Hii laana haingaliii mazingira au factor nyingne zilizokufanya ukatae?Kikwetu kukataa mbunye ni laana kubwa
Chumbani kufanya nini tena 🤔Ila niwashauri vijana wenzangu Pesa ya pango tuitafute wenyewe,Usije ukaitiwa chumbani.
Asante.
Factor zilizopo ni laana pia😅Hii laana haingaliii mazingira au factor nyingne zilizokufanya ukatae?
Sumbawanga wanakusubirDemu akinipa mbunye siwezi kukataa mana mm napenda kusaidia wahitaji
Tumshukuru kwa lipiTumshuukuru mheshimiwa rais daktari profesa SSH
Kupewa dudu la yuyuChumbani kufanya nini tena 🤔
Ndiyo tabia zenu fisiemDemu akinitongoza ili anichezee na kuniacha mi ni maji mara moja siwezi kukataa.
Hivi haya huwa ni kweli au ni watu wanatunga visa ili ku-trendKupewa dudu la yuyu
Kwahiyo unapenda kuchezewa sio 😌Demu akinitongoza mi ni maji mara moja siwezi kukataa.
Unajua maana ya msaniiHivi haya huwa ni kweli au ni watu wanatunga visa ili ku-trend
Sijui Kabila,ila kufanya hivyo sio sawa,kwa sababu unaweza kupafomu vizuri kwake, halafu ukafeli kwa wifeIvi ni kabila gani ukienda kuoa, Shangazi ya mke anakupa mzigo aone pafomansi yako!?
Asante.😁