Kama wewe
Mkuu umeshuka point za msingi nadhanj kwa wewe umefaidika vyakutosha maana ameona zile key point za fursa.Nimegundua huku kuna watu wapo kumchunguza mtu fulani kila siku anafanyaje humu JF
Nimejifunza mbinu mbalimbali na stadi za maisha.
Nimeona jinsi watu wanavyobishana kwa hoja
Nimeona baadhi ya watu wanavyopretend maisha
Nimeona baadhi ya watu wenye uthubutu kimaisha na wametusua
Nimeshuhudia watu wanavyoshindwa kudhibiti mihemko yao humu jukwaani
Nimeona baadhi ya watu humu jukwaani wapo kwa ajili ya kukatisha tamaa wengine
True mkuu...yapo zaidi ya hayo ila nimefupisha tuMkuu umeshuka point za msingi nadhanj kwa wewe umefaidika vyakutosha maana ameona zile key point za fursa.
Hakika pia nimeona mtu anayecomment kila kitu na vitu vingine bilaa kufikir ili mradi tuTrue mkuu...yapo zaidi ya hayo ila nimefupisha tu
sawa mkuuHakika pia nimeona mtu anayecomment kila kitu na vitu vingine bilaa kufikir ili mradi tu
Ukiwepo ww, si tu kwamba unatumia id feki....hata picha yako umedokoa pahala
Lol, unaongea na mimi au unaongea na keyboard??Member wengi wamejiunga JF 2015-2017
Lol, unaongea na mimi au unaongea na keyboard??
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.