Sema ulichogundua au kujifunza humu JamiiForums

Sema ulichogundua au kujifunza humu JamiiForums

Internal

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2017
Posts
3,579
Reaction score
3,919
Nilichogundua humu ndani jf watu wapo tayari kueleza hisia zao na changamoto zao zinazowasibu bila kuficha hata neno moja kuliko kumueleza ndugu, jamaa au rafiki wa karibu.

Zipo baadhi ya nyuzi humu ukisoma kwa kutulia utaelewa tu kuwa haya maneno au ujumbe sio rahisi mtu kukaa chini na mpendwa wake wanaojuana na kuanza kumsimulia maana unaambatana na private nyingi sana za mtu binfsi.

Ujasiri huu nimeuona tu JF na sio FB wa WhatsApp.

Ikiwa na wewe kuna kitu umejifunza tueleze.
 
Nimegundua huku kuna watu wapo kumchunguza mtu fulani kila siku anafanyaje humu JF

Nimejifunza mbinu mbalimbali na stadi za maisha.

Nimeona jinsi watu wanavyobishana kwa hoja

Nimeona baadhi ya watu wanavyopretend maisha

Nimeona baadhi ya watu wenye uthubutu kimaisha na wametusua

Nimeshuhudia watu wanavyoshindwa kudhibiti mihemko yao humu jukwaani

Nimeona baadhi ya watu humu jukwaani wapo kwa ajili ya kukatisha tamaa wengine
 
Mkuu umeshuka point za msingi nadhanj kwa wewe umefaidika vyakutosha maana ameona zile key point za fursa.
 
elimu na ujuzi mpya.
watu wenye kujifanya eti walisoma UDSM,UDOM kumbe ni STD 7.
watu kujifanya wanamiliki magari nyumba.
eti ni DIASPORA.
Nimejifunza hekima fulani.
mambo ya kichawi.
afya.
udaku n.k
ASANTENI....
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu hapa si kila mtu alichogundua[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Lol, unaongea na mimi au unaongea na keyboard??

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Back
Top Bottom