Sema watanzania ni rahisi sana kudanganyika. Sasa Kanali wa NATO ndiyo nini?

Sema watanzania ni rahisi sana kudanganyika. Sasa Kanali wa NATO ndiyo nini?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
11,884
Reaction score
21,175
Watu wako Kanali wa NATO Kanali wa NATO! Unaweza kudhani wanatania kumbe ndiyo wameishaamini hivyo. NATO ina Kanali na jeshi tokea lini? Sijui ni Gen Z hawa ambao hawakusikiliza Dochivele ndiyo weupe hivi kichwani? Anyway, salama iwe na Polepole.
 
hawa vijana wajinga mno.
Yaani nashangaa waluwezaje kuamini ngonjera za yule mwehu.
Nimewahi kuandika nyuzi nyingi sana kutia shaka akili za hawa vijana.
Ikiwezekana kuanzia cheti cha kidato cha nne vijana wapewe baada ya kupimwa akili.
 
Watu wako Kanali wa NATO Kanali wa NATO! Unaweza kudhani wanatania kumbe ndiyo wameishaamini hivyo. NATO ina Kanali na jeshi tokea lini? Sijui ni Gen Z hawa ambao hawakusikiliza Dochivele ndiyo weupe hivi kichwani? Anyway, salama iwe na Polepole.
Unajua mimi nilijiuliza sana, kanali wa NATO ni nini..cha kusikitisha hadi wasomi wa Tanzania walielewa na kuamini...mimi mpaka leo sielewi
 
Back
Top Bottom