Sema wewe Talib Hilal nikisema mimi kocha mpya wa Simba hafai ntaonekana msaliti

Leonel Ateba Mbinda

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2023
Posts
644
Reaction score
2,695
Kocha Talib Hilal amekaririwa na redio moja nchini akisema jana kuwa kocha mpya anayetarajiwa kuingia kandarasi na Simba Faldu David's hana uwezo na hawezi kuifikisha popote pale Simba.

Talib defender wa zamani wa Simba na baadae akawa kocha anasema recodi ya kocha huyo mpya ya mechi 12 kashinda mechi 2 tu ni rekodi mbaya sana kwa kocha ambaye anakwenda kufundisha timu yenye kiu ya mafanikio.

"Sijui viongozi wa Simba wameangalia nini lakini to me naona uwezo wake ni kawaida sana." Mwisho wa kunukuuu.

Asante sana Talib Hilal kwa kuwaambia ukweli hao wageni wa mpira na walioanza kupoteana kabla ya msimu haujaanza.
 
Unapoweka taarifa kama hii, weka na picha au voice clip. Kinyume cha hapo ni UZUSHI
 
Thiiimbaaaa 5imba Guvu Moya.
 
Huyo kocha ndiyo ana reflect kiwango chenu, hao wachezaji wa MUDDY NA MZEE MANGUNGU ni wachezaji wa cha-ndimu
 
Hunaga jema na Simba
 
Mwambie amlete morinyo basi, au klop
 
Hawa underdog mara nyingi simba inafanya nao vizuri refer kishingo anasajiliwa simba nakumbuka shafih dauda alibwatuka sana kwenye kipindi chao cha michezo pale mawinguni fm
 
Na vipi kuhusu Benchika wakati anakuja Simba? Matokeo yake yakawaje?
 
Mkuu Wacha tumpe muda, kumbuka alikotoka hakua na kikosi hiki pengine kikosi ndio kilichomkwamisha.
Mashabiki wa bingo uvumilivu wa kumpa muda kocha wanao? au umesahau bongo kila shabiki kocha.
 
mbona hata yeye talib hilal hana mafanikio yoyote ya ukocha huko aliko? kocha ni ku gamble tu kama kwa wachezaji
 
Huyo naye ni mngese tu, tatizo lasimba sio wachezaji ,pamoja na uwepo wa makocha viwango bado imejishikia nafasi ya shirikisho ,ukipenda ita "MTONDo Go
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…