Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Kocha Talib Hilal amekaririwa na redio moja nchini akisema jana kuwa kocha mpya anayetarajiwa kuingia kandarasi na Simba Faldu David's hana uwezo na hawezi kuifikisha popote pale Simba.
Talib defender wa zamani wa Simba na baadae akawa kocha anasema recodi ya kocha huyo mpya ya mechi 12 kashinda mechi 2 tu ni rekodi mbaya sana kwa kocha ambaye anakwenda kufundisha timu yenye kiu ya mafanikio.
"Sijui viongozi wa Simba wameangalia nini lakini to me naona uwezo wake ni kawaida sana." Mwisho wa kunukuuu.
Asante sana Talib Hilal kwa kuwaambia ukweli hao wageni wa mpira na walioanza kupoteana kabla ya msimu haujaanza.