CONTROLA
JF-Expert Member
- Sep 15, 2019
- 7,001
- 23,449
Ntakua nimeshafariki (duniani)Na siku umekosa kabisa hiyo hela ya kununulia unataishije
nikiwa hai hivi haitokaa itokee nikose pesa ya unga nusu
labda unga wa brazil ila sio huu sembe na dona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ntakua nimeshafariki (duniani)Na siku umekosa kabisa hiyo hela ya kununulia unataishije
How credible and reliable is your information kaka? La sivyo tukufuate hapo sasa hivi kwa kusababisha taharuki kwa umma!Na huko katavi nimesikia gunia la mahindi ni 80000 kitu ambacho hata wakulima wa huko huko nao wanashangaa..
Narudia kusema tutashaa..
Ukisharuhusu soko huria la vyakula hasa Mahindi, Maharange nk basi wa kuumia ni watu wa hali ya chini....sasa hivi watu wanalalia uji na bado kuna uwezekano wa kula pumba. Yaani vyakula vipo ila hela hawana.
watu wa hali ya juu na kati hata hawajui bei ya unga ni nini? kweli duniani hapa jamani hakuna usawa kabisa.
Watanzania huwa hamueleweki hata kidogo, bei ya gunia la mahindi kwa mwaka jana ilikuwa chini mlilalamika sana kuwa mkulima ananyonywa, leo hii bei imepanda bado tena mnalalamika. Ni kipi hasa huwa mnataka!?.Na huko katavi nimesikia gunia la mahindi ni 80000 kitu ambacho hata wakulima wa huko huko nao wanashangaa..
Narudia kusema tutashaa..
Watanzania huwa hamueleweki hata kidogo, bei ya gunia la mahindi kwa mwaka jana ilikuwa chini mlilalamika sana kuwa mkulima ananyonywa, leo hii bei imepanda bado tena mnalalamika. Ni kipi hasa huwa mnataka!?.