Semeni Kabisa Kuhusu Bravos : Msisubiri Abatuliwe Muanze Kusema 'Bomu Mochware'

Eti miaka ya hivi karibuni...!! Nyie si ndo mlisema Mazembe hiii si ileeee..!!! Ile timu fasheni haina pointi hata moja na inashika mkia si wapo tu mochware wale..!!
 
Hakuna timu itayoweza kufuzu bila kikokotoo, hapo nyie mnaposema mnahitaji point mooja ili mfuzu mmetumia nini zaidi ya kikokotoo? Waliokata tiketi hadi sasa ndio pekee hawaangaiki na kikokotoo kwasasa
Unabishana na ali komwe?
 

Attachments

  • SWAHILI WAVE - Maneno haya sio mageni jijini ___Daressalaam _Zuchu __Tanzania _SUMU__Shu _ShuC...mp4
    750.4 KB
Robo tayari, kimahesabu ukikusanya points 9 makundi Watake Wasitake Robo ushafika wewe kukusimamisha ni Robo
Robo tayari, kimahesabu ukikusanya points 9 makundi Watake Wasitake Robo ushafika wewe kukusimamisha ni Robo
Kimahesabu ni sawa lakini kumbuka mpira unadunda unaweza ukakwamia kwenye pointi 9,Enzo Bravo ana alama 6 akikupiga jumapili unabaki na alama zako 9,game ya mwisho hiyo ni hesabu nyingine na itategemea na matokeo ya waarabu yatakavyokuwa
 
Kuna watu wanafuatilia hiyo Ligi ya shirikisho?? Hao Bravos sijui Fu*kshien wanacheza Ligi daraja la ngapi huko?
 
Nabishana nae ndio kwani Yanga msimu uliopita kafuzu robo fainali kwa kupata alama 9 za nyumbani? Simba ilikuwa kundi moja na Raja Casablanca je waliweza kupata alama 9 za nyumbani?
Hii ipeleke pale salamander atakujibu vizuri
 
Hilo kombe la mchangani ndilo lililowafanya mkavaa shanga shingoni mnazotamba nazo kila siku. Huko CAFCL Simba ni nyumbani labda nyie wageni wa hayo mashindano ndio mnaona kitu cha ajabu Sana.
Umepiga kwenye bandama akicheka nistue tumchomoe koromeo
 
Simba njia ni nyeupe. Akishindwa ni ujinga wake mwenyewe
 
Hilo kombe la mchangani ndilo lililowafanya mkavaa shanga shingoni mnazotamba nazo kila siku. Huko CAFCL Simba ni nyumbani labda nyie wageni wa hayo mashindano ndio mnaona kitu cha ajabu Sana.
Eti nyumbani halafu hauwezi ingia kucheza na yeyote huko unakokuita nyumbani..!! We endelea na kombe la wamama..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…