Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamewawakilisha wazanzibarHongera sana Zanzibar mmetuwakilisha vizuli
Walishiriki but wakafumuliwa mushonoKilimanjaro stars hawakushiriki?
Hacha fitina mkuu.....tuwapongeze kwa hatua hiyo adhimu iliyowashinda taifa tangu tupate uhuru.........[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Watapigwa hamna namna
Hacha fitina mkuu.....tuwapongeze kwa hatua hiyo adhimu iliyowashinda taifa tangu tupate uhuru.........[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Wacha ujinga wako wewe, Zanzibar ni nchi na kule Kenya wamekwenda na bendera yao na wimbo wao wa Taifa.This is Tanzania
Uwezo mdogo.. Na kelele nyingiKilimanjaro stars hawakushiriki?
Inaonekana timu Kilimanjaro star imekuboa sana hadi uwe n.a. chuki kwa nchi jirani wala urojoHamna watapigwa tu mi nashabikia kenya mkuu
Hamna ni mapenz tu mkuuInaonekana timu Kilimanjaro star imekuboa sana hadi uwe n.a. chuki kwa nchi jirani wala urojo
Sawa twenzetu jukwaa la Man u.....!!! Tukaangalie yaliyojiri.Hamna ni mapenz tu mkuu
Wewe ndio fala sana kaka mkubwa hajui kuucheza tangu enzi hizo ila mdogo alidharauliwa hakupewa nafasi. Mdogo miaka yate ndie Brazil wa Africa Mashariki anatandaza safi sana. Hallafu unabana pua kama umepakatwaSafi sana Zanzibar kwa kututoa kimasomaso. Huku kaka mkubwa ni aibu tupu. Kila kijivulana kinajifunzia kugonga kwa kaka mkubwa
HahahhahahSawa twenzetu jukwaa la Man u.....!!! Tukaangalie yaliyojiri.
Tuombe iwe hivyo bandunguzanzibar ndie champion wa cecafa 2017 kenya mwepesi..