Semi Final 2, CECAFA: Zanzibar Heroes yaifunga Uganda goli 2 - 1! Sasa kukutana na Kenya katika mchezo wa fainali

Semi Final 2, CECAFA: Zanzibar Heroes yaifunga Uganda goli 2 - 1! Sasa kukutana na Kenya katika mchezo wa fainali

Hongera sana zanzibar heroes
 
Safi sana Zanzibar kwa kututoa kimasomaso. Huku kaka mkubwa ni aibu tupu. Kila kijivulana kinajifunzia kugonga kwa kaka mkubwa
Wewe ndio fala sana kaka mkubwa hajui kuucheza tangu enzi hizo ila mdogo alidharauliwa hakupewa nafasi. Mdogo miaka yate ndie Brazil wa Africa Mashariki anatandaza safi sana. Hallafu unabana pua kama umepakatwa
 
Hongerani wananchi wa Zanzibar pamoja na timu yenu sisi wa wananchi wa Tanzania hatukushiriki uchumi ulikuwa mgumu
 
Back
Top Bottom