Tetesi: Semi La Bia Lapata Ajali Ruaha

Tetesi: Semi La Bia Lapata Ajali Ruaha

Kajirutaluka

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2016
Posts
1,224
Reaction score
995
Semi la bia limeanguka maeneo ya Ruaha Iyovi. Wanabeba bia kwa makreti na viroba kwa bodaboda na miguu. wengine wamelewa wapo hoi wanayumbayumba tu. polisi wamefika na gari ndogo nao naona wameweka kreti mbili kwenye. buti.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Semi la bia limeanguka maeneo ya Ruaha Iyovi. Wanabeba bia kwa makreti na viroba kwa bodaboda na miguu. wengine wamelewa wapo hoi wanayumbayumba tu. polisi wamefika na gari ndogo nao naona wameweka kreti mbili kwenye. buti.
Hii habari bila picha haiwezi ikanoga wallah....[emoji12] [emoji12]
Ebu hakikisha unatupia hiyo picha ya maafande walio jisevia kreti na hao raia wanao pombeka
 
Kumbe ndio maana Atugonile amelewa asubuhi ya jumamosi hii na ni msabato!
 
Semi la bia limeanguka maeneo ya Ruaha Iyovi. Wanabeba bia kwa makreti na viroba kwa bodaboda na miguu. wengine wamelewa wapo hoi wanayumbayumba tu. polisi wamefika na gari ndogo nao naona wameweka kreti mbili kwenye. buti.
lingeanguka Moshi hilo
 
Jitahid upate walau picha kwanza,, nataman kuona hizo kret mbili kwenye hyo gari ndogo ,,,

Je siyo NISSAN NYEUPE????

Ukifanikiwa kupata picha itajieleza yote hayo
 
Semi la bia limeanguka maeneo ya Ruaha Iyovi. Wanabeba bia kwa makreti na viroba kwa bodaboda na miguu. wengine wamelewa wapo hoi wanayumbayumba tu. polisi wamefika na gari ndogo nao naona wameweka kreti mbili kwenye. buti.
Kwa hiyo hao polisi hizo kreti zitawatosha kweli???
 
Wakuu mie nimepita tu na gari sasa ndio naona semi ipo korongoni. Vijana wanajazana na mabodaboda kuzoa mzigo.
 
Back
Top Bottom