Kajirutaluka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 1,224
- 995
Semi la bia limeanguka maeneo ya Ruaha Iyovi. Wanabeba bia kwa makreti na viroba kwa bodaboda na miguu. wengine wamelewa wapo hoi wanayumbayumba tu. polisi wamefika na gari ndogo nao naona wameweka kreti mbili kwenye. buti.