Semina ya mtaala mpya, Halmashauri ya Meru walimu wapigwa semina bila chai, lunch wala nauli kwa siku mbili

Semina ya mtaala mpya, Halmashauri ya Meru walimu wapigwa semina bila chai, lunch wala nauli kwa siku mbili

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,479
Reaction score
3,788
Alhamisi na Ijumaa ya wiki iliyopita, tarehe 30 na 31 Januari walimu wa halmashauri ya Meru walipatiwa semina ya utekelezaji wa mtaala mpya.

Vituo vya utoaji wa semina vilikuwa kadhaa.

Kituo cha Shule ya Sekondari St. Jude walimu waliohudhuria semina hawakupewa chai wala chakula cha mchana wala nauli.

Hii si sawa kwakweli, yaani semina ianze asubuhi mpaka saa 8:00 mchana bila washiriki wa semina kuweka chochote tumboni. Hii ni dharau.

Naambiwa, baadhi ya walimu (wale wajanja) walivyoona hivyo hawakurudi tena kwa siku ya pili yake.

Taasis ya elimu Tanzania, mnajua hiko kinachoendelea huko kwenye semina zenu?

Waziri wa Elimu, Profesa Mkenda mnachowafanyia walimu wetu sio sahihi
 
Sawa
Watatusaidia Kwenye General Election 2025 Ndiyo Tutawalipa Chao
 
Kawaida,sisi ndiyo sehemu ya maboss kupatia marupurupu....yaan hawatulipi bali wanajilipa.

We love you indeed our leaders❤️
 
Kawaida,sisi ndiyo sehemu ya maboss kupatia marupurupu....yaan hawatulipi bali wanajilipa.

We love you indeed our leaders[emoji3590]
Hakika Dear wee Una wito wa ualimu.
Hongera sana.
 
😳
 
Attachments

  • IMG-20250122-WA0047.jpg
    IMG-20250122-WA0047.jpg
    32.8 KB · Views: 2
Mbona mlishaambiwa inatakiwa kufanyiwa ndani ya shule sasa kwa kuwa pana shule nyingi wanatafuta centre hii semina haina malipo
 
Hizo semina wangeachiwa waendeshe Taasisi ya Elimu, wale huwa wanatoa posho nzuri kulingana na kiwango cha mshahara wa mwalimu analamba asilimia kadhaa ya mshahara wake. Sasa mwalimu wa kijijini ndani huko atoke huko kuhudhuria semina mjini kwa gharama zake how come? Wengi hawatahudhuria
 
Hao ni watumishi muhimu sana kwa maendeleo ya nchi, wanapaswa kupewa kipaumbele sana!
 
Alhamisi na Ijumaa ya wiki iliyopita, tarehe 30 na 31 Januari walimu wa halmashauri ya Meru walipatiwa semina ya utekelezaji wa mtaala mpya.

Vituo vya utoaji wa semina vilikuwa kadhaa.

Kituo cha Shule ya Sekondari St. Jude walimu waliohudhuria semina hawakupewa chai wala chakula cha mchana wala nauli.

Hii si sawa kwakweli, yaani semina ianze asubuhi mpaka saa 8:00 mchana bila washiriki wa semina kuweka chochote tumboni. Hii ni dharau.

Naambiwa, baadhi ya walimu (wale wajanja) walivyoona hivyo hawakurudi tena kwa siku ya pili yake.

Taasis ya elimu Tanzania, mnajua hiko kinachoendelea huko kwenye semina zenu?

Waziri wa Elimu, Profesa Mkenda mnachowafanyia walimu wetu sio sahihi
tumieni vyanzo vyenu vya mapato hapo shuleni kujilipa..kama hamna vyanzo vya mapato komaeni serikali iwawekee vyanzo vya mapato kama ilivyo kwenye Afya vinginevyo mtakuwa wakulalamika, siku hz kila kitu ni kujitegemea...huu ni mtazamo tu.
 
Back
Top Bottom