Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Alhamisi na Ijumaa ya wiki iliyopita, tarehe 30 na 31 Januari walimu wa halmashauri ya Meru walipatiwa semina ya utekelezaji wa mtaala mpya.
Vituo vya utoaji wa semina vilikuwa kadhaa.
Kituo cha Shule ya Sekondari St. Jude walimu waliohudhuria semina hawakupewa chai wala chakula cha mchana wala nauli.
Hii si sawa kwakweli, yaani semina ianze asubuhi mpaka saa 8:00 mchana bila washiriki wa semina kuweka chochote tumboni. Hii ni dharau.
Naambiwa, baadhi ya walimu (wale wajanja) walivyoona hivyo hawakurudi tena kwa siku ya pili yake.
Taasis ya elimu Tanzania, mnajua hiko kinachoendelea huko kwenye semina zenu?
Waziri wa Elimu, Profesa Mkenda mnachowafanyia walimu wetu sio sahihi