Semina ya Mtumishi wa Mungu Mwalimu Mwakasege

Semina ya Mtumishi wa Mungu Mwalimu Mwakasege

huyu jamaa anahukumu kubwa kwa Mungu..hataki kufundisha kweli ya MUNGU.Anafundisha ya Mapokeo ya wanadamu.
2thetholonike2;7-11
Wewe ni Mungu hadi ujue jukumu za watu...acha ukuda
 
Kama atakuja na somo jipya lisilogusa sadaka mniambie nami nijumuike
Maana jamaa huwa anazunguka wee mwisho unaambiwa utoe sadaka ya kujiungamanisha either direct or indirect
 
Mwl. Uwezi kumfananisha na vitu vya ajabu binafsi nasema Dunian sio tanzania hakuna km yeye sikiliza utajua sio kuleta ubishi wa kahawa ujawahi kunsikiliza na km umemsikiluza ujaelewa ujue autakaa uelewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huyu jamaa anahukumu kubwa kwa Mungu..hataki kufundisha kweli ya MUNGU.Anafundisha ya Mapokeo ya wanadamu.
2thetholonike2;7-11
We islamic soldier achana na mambo yasiyokuhusu utalishwa kitimoto bure bila kupenda
 
Mwl. Uwezi kumfananisha na vitu vya ajabu binafsi nasema Dunian sio tanzania hakuna km yeye sikiliza utajua sio kuleta ubishi wa kahawa ujawahi kunsikiliza na km umemsikiluza ujaelewa ujue autakaa uelewe.
Mkuu Mimi sihitaji kukupinga; Inategemea na ukomavu wa mtu kwenye Understanding ya Neno, Changamoto ya watu wengi, hawajaweka effort binafsi kwenye kusoma Neno.
Jamaa i met Him in a plane some Years Back; Nilimwambia nikamwelekeza mambo kadhaa, jamaa anahubiri zaidi Cecular things kwa mwamvuli wa Neno la Mungu; The scripture is Testify of Jesus; kuna Doctrine zake huwa haziko sawa; ila kwa sababu, Beginning from Genesis to Malaki; Kikihubiriwa kitu tofauti na Yesu na Neema; hiyo siyo gospel hiyo ni Motivational.

Nikamwambia pia kuwa Watumishi wengi wamejificha kwenye kivuli cha Roho mtakatifu kwenye Ufundishaji wa Neno; Bila kufahamu kwamba Biblia ni maandishi, ambayo kanuni za Usomaji, Ufasiri za Kiuandishi/ Usomaji lazima sifuatwe;Naye nilimwambia hili; Akiwa US huwa anajitahidi kubadili Preaching, nadhani ni kwasababu ya Hadhira aliyonayo

Mfano juu ya Huduma yake ya Ualimu; it is not as Special service Service ziko Nne tu, Uinjilist, Uchungaji, Unabii na Mitume(amabo hawa wote wanatakiwa kufundisha, kinachowatofautisha ni eneo, kuna wanaofata
Ile scripture iko ivi Ephesians 4:11 "Naye alitoa wengine kuwa mitume,na wengine kuwa manabii, na wengine kuwa wainjilisti, na wengine Kuwa wachungaji (na) waalimu"
Hiyo na is not a conjuction, Greek imetumia neno Kai, ambayo ina maana ya (ambao/yaani) kwa lugha ya kwetu, na which is/Therefore kwa lugha ya kiingereza. Lakini Huduma nne zote focus ni KUFUNDISHA, ili kuwakamilisha watakatifu, Kuifanya kazi ya Huduma izidi sana, Mpaka kufikia uelewa kwenye Cheo cha Kristo.

Sasa Mtumishi maadamu ameshakuwa na Waamini wengi wa Doctrine zake inakuwa ngumu, hata kama alikuwa anajua vibaya hiyo ni challenge kubadilika.

Roho Mtakatifu sio excuse ya Kutofuata kanuni za Uandishi na Utafsiri; ndio maana Africa Dini na Imani imekuwa Mzigo sana.
 
huyu jamaa anahukumu kubwa kwa Mungu..hataki kufundisha kweli ya MUNGU.Anafundisha ya Mapokeo ya wanadamu.
2thetholonike2;7-11
Mkuu, kwani kuna aliyekuzuia kufundisha kweli ya Mungu?

Kweli ya Mungu ambayo Mwakasege hajaifundisha ni ipi hasa?

Mapokeo ya wanadamu yataeaelekeza watu kwa Mungu?

Usihukumu usije ukahukumiwa. Mwakasege ni mtumishi wa Mungu.
 

Attachments

  • MWL_CHRISTOPHER_MWAKASEGE__USISUBIRI_UKAOMBE_KUZIMU.(240p).mp4
    11.6 MB
Back
Top Bottom