Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Duh, Ama kweli Aqaeda wako Bongo! Lol!
hapa nimetoka kapa!
Labda ana maanisha Alqaida
Habari zinaingia kutaarifu kuwa seminari kuu ya Kipalala mkoani Tabora saa hii wamevamiwa na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi na tukio linaendelea wakati vikosi vya Polisi vinaelekea huko. Uvamizi huo umetokea muda mfupi uliopita na mmoja wa mapadre ambaye amejificha mahali amefanikiwa kutuma ujumbe wa SOS kutaarifu juu ya uvamizi huo.
Situation is still fluid and resources za JF/KLHN zina monitoring the situation..!! Hadi hivi sasa hatujui madhara au uharibifu uliofanyika.
Yawezekana Majambazi uchwara tu..may be njaa na shida nyingi mno Tabora!
Alqueda hapo hakuna US interest!
nafahamu hilo sijaelewa kwanini imetajwa kwenye uvamizi wa seminari ya Kipalapala.. labda ningetaja iliyovamiwa ni Shule ya Sekondari ya Tabora Boys labda Al-qaida isingetajwa? LOL
Duh, Ama kweli Aqaeda wako Bongo! Lol!
Hata hivyo isingetajwa. Nje ya Afdhanistan, adui wa Alqaida ni Mmarekani, Serikali ya Pakistan na nchi za mgaharibi zilizosaidia mashambulizi ya Afghanistan na Iraq. Alqaida haina ugomvi wa wazi na makanisa kwa kiasi ninachojua mimi.
Inaonyesha hawa ni majambazi ya kawaida ambayo hayamuogopi Mungu.
Sehemu palipo na njaa hakuna ustaarabu
..utani tu bob - damn!
Nyani Ngabu,
najua mkuu wangu mijitu mingine hununa hata Kitandani!
ha ha ha si mchezo!Nyani Ngabu,
najua mkuu wangu mijitu mingine hununa hata Kitandani!
Nyani Ngabu,
najua mkuu wangu mijitu mingine hununa hata Kitandani!