Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Habari zinaingia kutaarifu kuwa seminari kuu ya Kipalala mkoani Tabora saa hii wamevamiwa na watu wanaosadikiwa kuwa ni majambazi na tukio linaendelea wakati vikosi vya Polisi vinaelekea huko. Uvamizi huo umetokea muda mfupi uliopita na mmoja wa mapadre ambaye amejificha mahali amefanikiwa kutuma ujumbe wa SOS kutaarifu juu ya uvamizi huo.
Situation is still fluid and resources za JF/KLHN zina monitoring the situation..!! Hadi hivi sasa hatujui madhara au uharibifu uliofanyika.
Situation is still fluid and resources za JF/KLHN zina monitoring the situation..!! Hadi hivi sasa hatujui madhara au uharibifu uliofanyika.