Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,605
- 1,957
Wapi bana hatawezana na Hustler1 William Kipchirchir Samoei Arap Ruto.Huyo ndio raisi wa Kenya 2022
Hawezani na William Samoei Ruto.Huyo ndio raisi wa Kenya 2022
Ruto is an old story kazi yake imekwishaWapi bana hatawezana na Hustler1 William Kipchirchir Samoei Arap Ruto.
Wewe unazijua siasa za Kenya vizuri, na je unazijua siasa za William Ruto vizuri? Watch him.Ruto is an old story kazi yake imekwisha
Hawezi kuwa Chancellor wa Kenyatta university,he is not KikuyuWadau,
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kabarak nchini Kenya Mh Daniel Arap Moi amemteua rasmi Senator wa Baringo Gideon Moi kuwa Mkuu wa Chuo ( Pro- Chancellor) wa Chuo hicho.Katika barua ya uteuzi Rais huyo mstaafu wa Kenya ambaye ndiye Mkuu wa Chuo hicho ( Chancellor) amesema amefurahi kumteua Senator huyo ambae uteuzi wake unaanza July 01, 2017.
Baadhi ya majukumu ya mteule huyo ni pamoja na kusaidia kutunuku wahitimu vyeti, Stashahada na Shahada.
Source: KTN
Even Uburu knows that,he is a kingmakerHawezani na William Samoei Ruto.
He is a King and a King maker.Even Uburu knows that,he is a kingmaker
Unaelewa mambo ya Kenya ndugu yani Baebarosa hakua amekosea.Hawezi kuwa Chancellor wa Kenyatta university,he is not Kikuyu
Ruto is an old story kazi yake imekwisha
Hawezi kuwa Chancellor wa Kenyatta university,he is not Kikuyu