Senator Gideon Moi ateuliwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kabarak

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Posts
1,605
Reaction score
1,957
Wadau,

Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kabarak nchini Kenya Mh Daniel Arap Moi amemteua rasmi Senator wa Baringo Gideon Moi kuwa Mkuu wa Chuo ( Pro- Chancellor) wa Chuo hicho.Katika barua ya uteuzi Rais huyo mstaafu wa Kenya ambaye ndiye Mkuu wa Chuo hicho ( Chancellor) amesema amefurahi kumteua Senator huyo ambae uteuzi wake unaanza July 01, 2017.

Baadhi ya majukumu ya mteule huyo ni pamoja na kusaidia kutunuku wahitimu vyeti, Stashahada na Shahada.

Source: KTN
 
Hawezi kuwa Chancellor wa Kenyatta university,he is not Kikuyu
 
Does that institution not belong to Daniel T Arap Moi?
 
Hawezi kuwa Chancellor wa Kenyatta university,he is not Kikuyu

Hapa siyo Ukikuyu wala Ubaluhya ila chuo cha Kabatak ni binafsi(private) yaani siyo cha umma(public institution), kwa hiyo acha ukabila wako. Kama sijakosea ni mali ya baba yake yaani Rais mstaafu Arap Moi, I stand to be corrected. Kama mzazi wako “Bitter pill” ashajenga chuo nahisi wewe ndo wakati muafaka wa kuwa Mkuu wa chuo hicho ili wivu ukutoke!
 
Back
Top Bottom