Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,605
- 1,957
Wadau,
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kabarak nchini Kenya Mh Daniel Arap Moi amemteua rasmi Senator wa Baringo Gideon Moi kuwa Mkuu wa Chuo ( Pro- Chancellor) wa Chuo hicho.Katika barua ya uteuzi Rais huyo mstaafu wa Kenya ambaye ndiye Mkuu wa Chuo hicho ( Chancellor) amesema amefurahi kumteua Senator huyo ambae uteuzi wake unaanza July 01, 2017.
Baadhi ya majukumu ya mteule huyo ni pamoja na kusaidia kutunuku wahitimu vyeti, Stashahada na Shahada.
Source: KTN