Send off nzuri sana imefanyika ya binti anayejielewa kutoka familia inayojitambua. Hakuna kusumbua watu Michango

fatma ana kishape flani hivi cha kichokozi 😍

watu ni 33 kwasababu wengi ni kataa ndoa hawataki kushiriki ndoa za ndugu na marafiki
 
Kuna Send off moja nilihudhuria pale Johari Rotana nikiwa mualikwa upande wa muoaji(tuliletewa kadi 5 tu) na wao walikuwa 22 jumla watu 27
Kwa kweli niliipenda haikuwa na makokolo mengi
Utambulisho wa ndugu, story kidogo,kula kunywa ilipofika saa tano shughuli imeisha
 
Hizi send off sijui zimetokea wapi, jambo la ndoa ilibidi liwe jambo jepesi lakini tunalifanyia mbwembwe kibao.
Jambo la ndoa na msiba ni swala la kifamilia hata zamani ilikuwa hivyo. Siyo mbwembwe kwa sababu hakuna hata mahali watanzania walivyo hodari wa kuiga,wameiga
 
Hapa sijaelewa inaonekana huyu dada amebadili dini kutoka Uislam kwenda Uikristo coz jina Fatuma ni majina ya Middle East lakini Sendoff ni Culture za West………….Kama kabadili Sawa,ata Mimi nipo njiani kubadili kuwa Muikristo tu maana haya maisha bila Yesu nimeona ni kupoteza muda tu
 
Tusiige mambo ya Wazungu, wao hufanya hivyo kwani kule watu hawana time na pia hakuna cha mambo ya shangazi, mjomba, jirani, nk, huku kwetu extended familu ipo na kuna watu wengi tu watakuwa wanajiona wametengwa.
Sawa, ila ifanyike bila kutembeza bakuli la mchango.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…