torvic
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 3,978
- 9,841
fatma ana kishape flani hivi cha kichokozi 😍send off kali sana.
33 People Invited Only🙌🏾 na majina ya waalikwa yamebandikwa kabisa, No hekahekaa! Hapa hakuna cha kuzamia sherehe kama jina lako hamna huingii🤣🤣 maana hakuna siti ya ziada.
1 - Hakuna kusumbua watu michango
2- Hakuna kupotezea watu muda wao na vikao vingi vya Kamati
3 - Hakuna madeni.
this show her mental health stability ipo juu sana.
View attachment 3255993
watu ni 33 kwasababu wengi ni kataa ndoa hawataki kushiriki ndoa za ndugu na marafiki