Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ukizikwa na watu 8 tu una hasara gani?Kwani wakiwa zaidi ya 33 ananufaika nini?
Badilikeni watu 300 au 500 ndio iweje?
Hayo mambo ya kualika watu 20 tu kwenye sendoff ni ya wazungu na ni sawa huko kwao, hapa kwetu sio. Bado kidogo mtaiga kwa wazungu na ushoga halafu mtalalamika vijana wa cku hizi wamekuwa na mambo ya kizungu.Fanya ambacho kipo ndani ya uwezo wako hakuna haja ya kujiumiza au kusumbua watu na habari za michango
Tukiiga mazuri yao sio lazima tuige na mabaya yao. Fanya sherehe ambayo uwezo wako unaruhusu sio ujinga wa kusumbuana na masuala ya michangoHayo mambo ya kualika watu 20 tu kwenye sendoff ni ya wazungu na ni sawa huko kwao, hapa kwetu sio. Bado kidogo mtaiga kwa wazungu na ushoga halafu mtalalamika vijana wa cku hizi wamekuwa na mambo ya kizungu.
Mbongo mpe picha tuUmejuaje kama hamna michango?
Hiyo itakuwa poa sanaSafi kabisa angalau naanza kuona mambo ninayoyapenda na mimi nitafunga ndoa na watu 20 tu nitaalika .
Safi sana. Hii ndiyo inatakiwa na siyo ile ya kujaza ukumbi mzima midada iliyobandika mi-kope ya macho mirefu kama sharubu za paka shume.send off kali sana.
33 People Invited Only na majina ya waalikwa yamebandikwa kabisa, No hekahekaa! Hapa hakuna cha kuzamia sherehe kama jina lako hamna huingii maana hakuna siti ya ziada.
1 - Hakuna kusumbua watu michango
2- Hakuna kupotezea watu muda wao na vikao vingi vya Kamati
3 - Hakuna madeni.
this show her mental health stability ipo juu sana.
View attachment 3255993
🤣🤣🤣Safi sana. Hii ndiyo inatakiwa na siyo ile ya kujaza ukumbi mzima midada iliyobandika mi-kope ya macho mirefu kama sharubu za paka shume.
Halafu mbona nyie huu ushoga mnapenda sana kusingizia wazungu wakati nyie ndio mmebobea tena kwa uwazi kabisa?Hayo mambo ya kualika watu 20 tu kwenye sendoff ni ya wazungu na ni sawa huko kwao, hapa kwetu sio. Bado kidogo mtaiga kwa wazungu na ushoga halafu mtalalamika vijana wa cku hizi wamekuwa na mambo ya kizungu.
Kwenu ni wapi huko mnafanya ushoga mwingi kiasi hicho?Halafu mbona nyie huu ushoga mnapenda sana kusingizia wazungu wakati nyie ndio mmebobea tena kwa uwazi kabisa?
Siku hizi (hata ndoa ya Aziz Kitumeona) mashoga yaani wasenge wanapewa kipaumbele kukatika hadharani huku wanapewa zawadi lukuki!
Jifunzeni ukweli
Ukiongelea zuri lolote la wazungu kama hawalitaki badala ya kupinga kwa hoja wanakimbilia kwenye point ya ushoga. Hivi tukigeza mazuri yao ni lazima tugeze na mabaya pia? Kama maisha ya wazungu hawana mambo ya kusumbuana na michango wanafanya tafrija ambayo mfuko unaruhusu mbona ilo ni jambo jema. Hivi tukisema na sisi tufanye hivyo maana yake ni lazima tuupitishe na ushoga pia? Imefika hatua nimeanza kudharau thinking capacity za watu wanaoleta hoja ya ushoga kwenye masuala ambayo hata hayahusiano na masuala ya huo ushogaHalafu mbona nyie huu ushoga mnapenda sana kusingizia wazungu wakati nyie ndio mmebobea tena kwa uwazi kabisa?
Siku hizi (hata ndoa ya Aziz Kitumeona) mashoga yaani wasenge wanapewa kipaumbele kukatika hadharani huku wanapewa zawadi lukuki!
Jifunzeni ukweli
Nyie ndio wale mnafosi michango ya harusi hata kwa watu ambao mlipotezana kitambo, huwa mnaboa sanaAkifiwa au akifa ategemee watu 33 tu msibani.
😂Wamemsahau pascal mayala muwakilishi wa JF
Well saidAkifiwa au akifa ategemee watu 33 tu msibani.
Akijibu nitag.Umejuaje kama hamna michango?
Cheusi Mangala huyo ana uzuri gani?Fatuma mrembo kweli.