Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Unfortunately kuja au kutokuja kwako hakutaweza kubadilisha chochoteUsiponialika kwenye harusi yako siji kwenye msiba wa baba ako bongo nyoso š
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unfortunately kuja au kutokuja kwako hakutaweza kubadilisha chochoteUsiponialika kwenye harusi yako siji kwenye msiba wa baba ako bongo nyoso š
Hakika...Unfortunately kuja au kutokuja kwako hakutaweza kubadilisha chochote
Na Lucas Mwanshamba kama Mashangazi wanaowakilisha upande wa Ubabaniš¤£š¤£Wamemsahau pascal mayala muwakilishi wa JF
Lucas mwanshamba amevibeba viatu vya sufiani kutoka android kuwa iosNa Lucas Mwanshamba kama Mashangazi wanaowakilisha upande wa Ubabaniš¤£š¤£
Umesahau na JumuiyaTusiige mambo ya Wazungu, wao hufanya hivyo kwani kule watu hawana time na pia hakuna cha mambo ya shangazi, mjomba, jirani, nk, huku kwetu extended familu ipo na kuna watu wengi tu watakuwa wanajiona wametengwa.
Kwani hao zaidi ya 33 ndio watamfufua?Akifiwa au akifa ategemee watu 33 tu msibani.
Aulize Mobutu alizikwaje kule MoroccoUkifa hata hujui atakayekuzika...huenda ukazikwa na wapita njia wenye njaa kali
Hatari sana š¤£š¤£š„“Aulize Mobutu alizikwaje kule Morocco
Unafikiri jambo kubwa kwenye sendoff ni kula kwa hiyo watu 33 wanatisha, kuna zaidi ya hayo.Kwani hawatoshi?! Kazi kubwa msibani ni kuchimba kaburi, Sasa watu 33 watashindwa kuchimba kaburi?!
Hafufuki ila faraja inakuwa kubwa.Ukija umati kwenye msiba ndio marehemu atafufuka?? Fikira za kijinga sana hizi
Wasukuma hoyee, naona ilifana.send off kali sana.
33 People Invited Only na majina ya waalikwa yamebandikwa kabisa, No hekahekaa! Hapa hakuna cha kuzamia sherehe kama jina lako hamna huingii maana hakuna siti ya ziada.
1 - Hakuna kusumbua watu michango
2- Hakuna kupotezea watu muda wao na vikao vingi vya Kamati
3 - Hakuna madeni.
this show her mental health stability ipo juu sana.
View attachment 3255993
Wazee wa kuweka chuki moyoni...kwani ilikuwa lazima ufanye sherehe siku ya graduation? Nyie ndo wale wanapenda kukua na kuwaacha Familia ikiwa imechoka mbaya.Siku wakati namaliza degree ya kwanza mwaka x hakuna Ata ndugu moja aliyechangia anything kwenye graduation yangu why me? Nihangaike na zao?
Wazee wa kuweka chuki moyoni...kwani ilikuwa lazima ufanye sherehe siku ya graduation? Nyie ndo wale wanapenda kukua na kuwaacha Familia ikiwa imechoka mbaya.
Mo Dewji amewapa hadi watoto wa mashangazi zake mitaji huko Mombasa, wewe endelea kubaki na chuki moyoni.
Kutoa mtaji kumwezesha ndugu ni tofauti na kuchangia sherehe. Kuchangia starehe ya mtu mwingine haina mantiki hata kidogo.Wazee wa kuweka chuki moyoni...kwani ilikuwa lazima ufanye sherehe siku ya graduation? Nyie ndo wale wanapenda kukua na kuwaacha Familia ikiwa imechoka mbaya.
Mo Dewji amewapa hadi watoto wa mashangazi zake mitaji huko Mombasa, wewe endelea kubaki na chuki moyoni.
watu 33 msibani wanatosha sana,hakuna haja ya kuwa na kundi kubwa linaloongeza gharama za msina.Akifiwa au akifa ategemee watu 33 tu msibani.
ndugu au Ume target rambirambi, hudhuria sherehe kwa sababu tu unapenda, ila usifanye ni investment utakuwa disappointed big time, utashangaaa watakao kuwa pamoja na wewe sio hata uliowachangiaUnajifanya hujui umuhimu wa kusaidiana kwenye raha na shida.