Send off nzuri sana imefanyika ya binti anayejielewa kutoka familia inayojitambua. Hakuna kusumbua watu Michango

Lawama utaziweza? Watanzania hata ambaye asingechangia au ambaye asingekuja hata kama ungemualika ndiye ataongoza genge la kukusema kutoalika watu wengi
 
Good!
Japo wanawake wengi wakiangalia hii wanachukia sana. Wanawake ndo chanzo cha ndoa zenye hekaheka wanapenda wakiolewa Dunia nzima ijue. Mwanaume usipokuwa makini unafirisika kisa kuoa alafu akija ndani anakutolea macho ugharimie kila kitu
 
Good!
Japo wanawake wengi wakiangalia hii wanachukia sana. Wanawake ndo chanzo cha ndoa zenye hekaheka wanapenda wakiolewa Dunia nzima ijue. Mwanaume usipokuwa makini unafirisika kisa kuoa alafu akija ndani anakutolea macho ugharimie kila kitu
 
Wasukuma hoyee, naona ilifana.
 
Siku wakati namaliza degree ya kwanza mwaka x hakuna Ata ndugu moja aliyechangia anything kwenye graduation yangu why me? Nihangaike na zao?
Wazee wa kuweka chuki moyoni...kwani ilikuwa lazima ufanye sherehe siku ya graduation? Nyie ndo wale wanapenda kukua na kuwaacha Familia ikiwa imechoka mbaya.
Mo Dewji amewapa hadi watoto wa mashangazi zake mitaji huko Mombasa, wewe endelea kubaki na chuki moyoni.
 
Hapana mkuu Sina chuki
 
Kutoa mtaji kumwezesha ndugu ni tofauti na kuchangia sherehe. Kuchangia starehe ya mtu mwingine haina mantiki hata kidogo.
 
Unajifanya hujui umuhimu wa kusaidiana kwenye raha na shida.
ndugu au Ume target rambirambi, hudhuria sherehe kwa sababu tu unapenda, ila usifanye ni investment utakuwa disappointed big time, utashangaaa watakao kuwa pamoja na wewe sio hata uliowachangia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…