Senegal: Wahudumu 3 wa afya wakamatwa kwa uzembe baada ya kifo cha mama na mtoto wakati wa kujifungua

Senegal: Wahudumu 3 wa afya wakamatwa kwa uzembe baada ya kifo cha mama na mtoto wakati wa kujifungua

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Daktari wa magonjwa ya wanawake, daktari wa ganzi na muuguzi wa wa hospitali ya Kedougou wanashikiliwa kwa mahojiano kutokana na tuhuma za uzembe katika upasuaji uliosababisha kifo cha mjamzito na mwanae baada ya kudaiwa kupoteza damu nyingi

Chama cha Madaktari wa Wanawake na Madaktari wa Uzazi cha Senegal (ASGO) kilitetea timu ya wahudumu hao na kukosoa kukamatwa kwa "makosa"

Kwa mujibu wa takwimu za Benki ya Dunia 2017, Tanzania ni Kati ya Nchi zenye idadi kubwa ya vifo vya uzazi Kusini mwa Jangwa la Sahara ikiwa na vifo 524 kati ya wanaojifungua 100,000 kila mwaka kwa sababu mbalimbali ikiwemo ufinyu wa huduma za afya

..................................

Three health workers in Senegal have been arrested after a pregnant woman and her baby died allegedly because of a botched Caesarean section. A health union official said a gynaecologist, an anaesthetist and a nurse were being questioned over potential negligence.

Senegalese media say the heavily pregnant woman died after losing a lot of blood. Her baby died as a result of injuries sustained during the operation. The Senegalese Association of Gynaecologists and Obstetricians (ASGO) defended the medical team and criticised the arrests as "wrongful".

In a statement quoted by the AFP news agency, it said the team had taken "the appropriate decision" for the woman and her baby. Last year President Macky Sall described Senegal's health system as obsolete and ordered a national review of neonatal services.

Source: BBC
 
Back
Top Bottom