Senegal wapokwa ubingwa wa AFCON 2025 na CAF, apewa Morocco

Ningependa nchi zote za africa zigomee kushiriki mashindano ya afcon tena hiyo ni simple tu na wala haina adhabu, maana kwenye hatua ya kufuzu tu ukiamua kutoshiriki wala sio kosa kisheria hivyo nchi 30 tu zenye ushawishi kwenye soka kama Egypt, senegal, ivory coast, mali, algeria, congo na tunisia.

Hizo nchi zikiamua kujiondoa kwenye kufuzu afcon naimani watapata nchi nyingne waungwaji mkono wengi sana na haya mashindano yatajifia, na hizo timu ziweke sheria kwamba wakitaka timu zishiriki tena basi Kesi ifunguliwe upya na Senegal wapewe ushindi wao kama awali.
 
Safi iwe funzo Kwa wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…