Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 37,333
- 50,241
Morocco nae katangazwa mshindi wa mezaniThat's peak comedy from the AFCON board.
The good thing is kila mtu anajua Senegal ndo aliyeibuka mshindi uwanjani
Morocco nae katangazwa mshindi wa mezaniThat's peak comedy from the AFCON board.
The good thing is kila mtu anajua Senegal ndo aliyeibuka mshindi uwanjani
Kwanini zigome?...hiyo CAF kwani ni Shirikisho la Waarabu?..Kwa kilichotokea kwa nini nchi zote za Afrika zisigomee kushiriki hii michuano ya CAF?
Kila mwaka Morocco akabidhiwe tu ubingwa wake aende...
Afcon ni kwa ajili ya Africa, wakigoma watashiriki mashindano yapi?..Ningependa nchi zote za africa zigomee kushiriki mashindano ya afcon tena hiyo ni simple tu na wala haina adhabu, maana kwenye hatua ya kufuzu tu ukiamua kutoshiriki wala sio kosa kisheria hivyo nchi 30 tu zenye ushawishi kwenye soka kama Egypt, senegal, ivory coast, mali, algeria, congo na tunisia.
Hizo nchi zikiamua kujiondoa kwenye kufuzu afcon naimani watapata nchi nyingne waungwaji mkono wengi sana na haya mashindano yatajifia, na hizo timu ziweke sheria kwamba wakitaka timu zishiriki tena basi Kesi ifunguliwe upya na Senegal wapewe ushindi wao kama awali.
Ushindi WA mchongoUshindi wa mezani hauna utamu wowote; ushindi halisi ni wa kwenye pitch.
Corrupted imbecile.Motsepe raisi wa caf kageuka kituko, waarabu wana mchezea tu.
Huyo bwana ni mfanya biasharaMotsepe raisi wa caf kageuka kituko, waarabu wana mchezea tu.
Huyo bwana ni mfanya biasharaMotsepe raisi wa caf kageuka kituko, waarabu wana mchezea tu.
Labda waangalie na matukio ya TZ vs Morroco wanaweza kugundua na sisi tulinyimwa penalties Morroco akanyang'anywa tena Ubingwa.Tangu lini matokeo ya uwanjani yanabatilishwa, baada ya CAF kuna vyombo vingine vya maamuzi.
Ila ingependa badala ya bodi ya ligi kuadhibu waamuzi wangetoa maamuzi kama hayo
Tatizo ni umoja,watu hawana umoja sababu ya njaa zaoKama ni kweli,nchi za weusi ziitishe mkutano wa dharula ziunde haraka sana CAF yao na zijivue uanachama CAF ya sasa na zijitoe kwenye mashindano yoyote ya CAF ya sasa kuanzia klabu bingwa hadi shirikisho
Kwani kanuni zinasemaje?Ningependa nchi zote za africa zigomee kushiriki mashindano ya afcon tena hiyo ni simple tu na wala haina adhabu, maana kwenye hatua ya kufuzu tu ukiamua kutoshiriki wala sio kosa kisheria hivyo nchi 30 tu zenye ushawishi kwenye soka kama Egypt, senegal, ivory coast, mali, algeria, congo na tunisia.
Hizo nchi zikiamua kujiondoa kwenye kufuzu afcon naimani watapata nchi nyingne waungwaji mkono wengi sana na haya mashindano yatajifia, na hizo timu ziweke sheria kwamba wakitaka timu zishiriki tena basi Kesi ifunguliwe upya na Senegal wapewe ushindi wao kama awali.
walimlazimisha kurudisha final ya home and away cacl, motsepe ana bei na waarabu koko wa africa wanajua bei yakeMotsepe raisi wa caf kageuka kituko, waarabu wana mchezea tu.
Sio mpira tu, kuna namna wa Africa nahisi kama hatuko sawa, Motsepe na watu wake wametudhalilisha sanaMpira wa Africa ni takataka forever. Smh