Senegal wapokwa ubingwa wa AFCON 2025 na CAF, apewa Morocco

Inapaswa mataifa yenye nguvu ya ushawishi kwenye mpira wa Africa like Senegal Cameroon Ghana Nigeria Cote D'Ivoire wasusie hayo mashindano ili yakose mvuto Caf wapate hasara

Manaa yakikosa mvuto watakosa wadhamini pia Hiyo league ita collapse, yaani nikiona team hizo zinapeleka team Tena uwanjani nitawaona kuwa ni mafala na ******* wakutupwa , it seems like Commoros walipo andaa haya mashindano maybe Caf walikuwa hawana pesa ya kuhost hayo mashindano morroco Waka dhamini baadhi ya mambo in return wapewe ushindi wao

So kilicho tokea Kika wasuprise Mwisho wa siku Morocco wakaenda kudai pesa zao Kwa motsepe

Binafsi niliachana ushabiki wa masuala ya mpira kitambo sana Kwa sababu kama hizi

Unaamua kuwapa moyo wa matumaini watu ili wakuamulie uwepo wa furaha Yako halafu wao wanachezea hisia zako Kwa kupanga matokeo huo ni uzwazwa wakati huo umekaa ukiamini kwamba hii michezo Huwa inakuwa fair thubutuuu, !!! Binaadamu ni kiumbe Cha tamaa kumuamini unajitakia matatizo tu
 
Kuna timu za Uiaya zilikuwa zinagoma na walitusema kabisa wachezaji wasiruhusiwe kuja maana hilo kombe halina heshima yoyote kwa sasa na kweli sasa imekuwa kama walivyotabiri. Na bado maajabu yataendelea utasikia baadhi ya Nchi zitzlisusia hilo kombe.
Bora wasusie life tu
 
Tanzania wamesha pata kisingizio Cha kuto kuhost mashindano 😄😁🤣🤣

Simple tu wataandika waraka na kusema kwamba tunajitoa kwenye uhusika wa kuandaa hayo mashindano mwaka 2027 kwasababu tumeona hakuna haki iliyo tendeka Kwa Senegal

Kumbe kiuhalisia mpaka Sasa hawaja jiandaa Kwa lolote
 
Kilichobaki ni kususia mashindano yote ya CAF wacheze waaarabu wenyewe kwa wenyewe
fisi hadhiriwi bucha mjuba, Ile ni biashara nono ukidhira kushiriki michuano yao utadoda hutafanya biashara ya mpira
 
Katika maisha unaweza ukapiga hatua mbele lakini ukajirudisha mwenyewe nyuma,kwa hili la CAF,walikuwa mbele sana katika issue ya usimamizi wa mashindano na tulikuwa tunawasifia sana,lakini kitendo hiki cha kumpoka Senegal ubingwa inaashiria wamejipiga mtama yenyewe na imerudi nyuma.
 
Ni Bora wangemaliza mchezo pale pale baada ya Senegal kutoka uwanjani na kuwapa Morocco huo ushindi lakini refa kuendelea na mchezo ni wazi kitakachotokea chochote baada ya hapo ni halali, yaani Sheria imevunjwa mara pili, ni Bora Sheria ivunje mara moja na Hukumu itoke hapo hapo. Hichi kilichotokea ni double standards, CAF nahisi waliamua mchezo uendelee ili kutotia aibu (Hapa ni kuvunja Sheria), bado lawama zinarudi Kwa CAF...

Ishu ni kwamba Morocco waligoma kuandaa mashindano ya CAF ya wanawake, unaona baada ya Tu ya kupewa ushindi wa mezani basi mara moja wamekubali kuandaa hayo mashindano, hapo Napo kuna walakini....All in all Kila siku zinavyokwenda mpira Afrika unazidi kupoteza mvuto.
 
Inapaswa mataifa yenye nguvu ya ushawishi kwenye mpira wa Africa like Senegal Cameroon Ghana Nigeria Cote D'Ivoire wasusie hayo mashindano ili yakose mvuto Caf wapate hasara

Manaa yakikosa mvuto watakosa wadhamini pia Hiyo league ita collapse, yaani nikiona team hizo zinapeleka team Tena uwanjani nitawaona kuwa ni mafala na ******* wakutupwa , it seems like Commoros walipo andaa haya mashindano maybe Caf walikuwa hawana pesa ya kuhost hayo mashindano morroco Waka dhamini baadhi ya mambo in return wapewe ushindi wao

So kilicho tokea Kika wasuprise Mwisho wa siku Morocco wakaenda kudai pesa zao Kwa motsepe

Binafsi niliachana ushabiki wa masuala ya mpira kitambo sana Kwa sababu kama hizi

Unaamua kuwapa moyo wa matumaini watu ili wakuamulie uwepo wa furaha Yako halafu wao wanachezea hisia zako Kwa kupanga matokeo huo ni uzwazwa wakati huo umekaa ukiamini kwamba hii michezo Huwa inakuwa fair thubutuuu, !!! Binaadamu ni kiumbe Cha tamaa kumuamini unajitakia matatizo tu
Ila unatuangusha sana wagalatia kwa kuiunga mkono Iran.
 
Lianzishwe Shirikisho jingine la Mpira Afrika, latakalokuwa huru na makucha ya hawa manyang'au. Hata FIFA isipotutambua iwe poa tu.
 
Back
Top Bottom