Morocco forever
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,121
- 6,879
Morocco wameatangazwa washindi wa AFCON baada ya matokeo ya fainali kubadilishwa na CAF.
Senegal wameazimiwa kuanguka mechi, na Morocco wamepewa ushindi wa 3-0 kama ilivyotolewa kwenye taarifa rasmi.
Hii ni taarifa rasmi ya CAF leo usiku
Kwa upande wangu kama haki imetendeka pasipo dhulma yoyote ni sawa kabisa, tena nitakua wa kwanza kufurahia Morocco wakiwa mabingwa.