Senegal wapokwa ubingwa wa AFCON 2025 na CAF, apewa Morocco

🥹But why did they take forever to review the incident, it needed urgent attention, the laws and regulations being referenced where already in place- it was just a matter of revision.
 
Kuna timu za Uiaya zilikuwa zinagoma na walitusema kabisa wachezaji wasiruhusiwe kuja maana hilo kombe halina heshima yoyote kwa sasa na kweli sasa imekuwa kama walivyotabiri. Na bado maajabu yataendelea utasikia baadhi ya Nchi zitzlisusia hilo kombe.
 
Wenzetu wanaona mbali..ujinga ujinga mwingi.
 
Aibu kubwa kwa bara zima la Afrika.
Motsepe ajuzulu ili angalau kuipa heshima CAF
 
Huu nao ni upimbi tupu

Ifike pahala makombe yanayohusisha nchi za Africa yaitwe kwa majina ya kiarabu ikiwezekana pia mataifa yenye watu weusi yajitoe

Inakera sana, yaani huku tuwe watumwa wa wazungu na kwenye mpira tuwe watumwa wa waarabu?

Pumbavu kabisa
 
CAF wanajitekenya na kucheka wenyewe.. wangepiga kimya tu na maisha mengine yakaendlea ila hivi wanavo fanya ndio wanazidi kuharibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…