Morocco forever
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,121
- 6,879
Morocco wameatangazwa washindi wa AFCON baada ya matokeo ya fainali kubadilishwa na CAF.
Senegal wameazimiwa kuanguka mechi, na Morocco wamepewa ushindi wa 3-0 kama ilivyotolewa kwenye taarifa rasmi.
Hii ni taarifa rasmi ya CAF leo usiku
Next AFCON hamna mtu ataangalia tutaficha aibu za kina Bashite humo humo 😬
Sisi tunajua Senegal ndio AFCON champion 2026, waliyemtangaza hatumtambui
Acha ubaguzi, kisa tu kupewa morocco hilo bakuli ndio uwaingize waarabu wote! Hivi unadhani morocco wanashidanalo hilo kopo!! Pesa wanayo, viwanja vizuri wanavyo, soka wanapiga, wachezaji wazuri wanao, ligi yao ni 🔥🔥🔥.Kilichobaki ni kususia mashindano yote ya CAF wacheze waaarabu wenyewe kwa wenyewe
Wote waarabu wa africa ni rushwa ndio wanashindia vikombe huku AfricaAcha ubaguzi, kisa tu kupewa morocco hilo bakuli ndio uwaingize waarabu wote! Hivi unadhani morocco wanashidanalo hilo kopo!! Pesa wanayo, viwanja vizuri wanavyo, soka wanapiga, wachezaji wazuri wanao, ligi yao ni 🔥🔥🔥.
Acha kanuni na sheria ifuatwe, kama wao senegal walitambua hilo why walisusa mchezo na kutoka nje!!
Kama sheria imefatwa na haki imetendeka basi morocco wanastahili kukabidhiwa kikombe.
Narudia na kukusihi kwa mara nyingine acha ubaguzi.
Hapa Mzayuni anawadestract kidogo ili atembeze kichapo Cha kihistoria kwa Iran.
Wote waarabu wa africa ni rushwa ndio wanashindia vikombe huku Africa
Unajua mwaka gani kuna nchi za hao waarabu wa Africa walifika hata robo fainali ya World Cup?
Sababu huko hakuna rushwa
Na hapa kupewa kombe la makaratasi ndio wamejidhihirisha kabisa
Na wameiingia cha kike sababu mpira ulichezwa na kumalizwa na refa ndani ya muda, kwa hiyo hawafiki mbali na ndio rushwa yao itaanza kujulikana hata wazungu wameshangaa huu ujinga uliofanyika
SidhaniTunamuomba Allah ajaalie ushindi kwa waislamu dhidi ya hao wabariki ushoga wa kizayuni n.k mnao wasapoti.
Inshaa Allah Uislamu utashinda!
Sisi ni mimi na demu wangu, acha kujipendekezaUsitumie neno "sisi" jisemee wewe tu.
Muhimu utaratibu ufuatwe haki itendeke basi.
Wazungu ndio akina nani! Morocco una wachukulia poa 2022 wamefika mbali, hebu nionyeshe hao wengine walifika wapi na walifanya nini cha maana kuwazidi Morocco! Na huko rushwa ilitembea? Sema wengi mnawachukia waarabu kitambo, in short hamuwapendi kama ilivyo kwa mazayuni na mashoga wenzake wanaobariki ushoga.Wote waarabu wa africa ni rushwa ndio wanashindia vikombe huku Africa
Unajua mwaka gani kuna nchi za hao waarabu wa Africa walifika hata robo fainali ya World Cup?
Sababu huko hakuna rushwa
Na hapa kupewa kombe la makaratasi ndio wamejidhihirisha kabisa
Na wameiingia cha kike sababu mpira ulichezwa na kumalizwa na refa ndani ya muda, kwa hiyo hawafiki mbali na ndio rushwa yao itaanza kujulikana hata wazungu wameshangaa huu ujinga uliofanyika
Morocco alifika Semi final Mkuu umesahau??Wote waarabu wa africa ni rushwa ndio wanashindia vikombe huku Africa