Senegal yasaini makubaliano ya amani na Waasi wa MFDC

Senegal yasaini makubaliano ya amani na Waasi wa MFDC

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2021
Posts
1,147
Reaction score
2,008
Rais wa Senegal Macky Sall, chini ya Upatanishi wa Rais wa Guinea Bissau, Umaro Sissoco Embalo ametia saini Mkataba wa amani na Waasi wa Chama cha Movement of Democratic Forces of Casamance (MFDC) unaotajwa kuweza kumaliza mzozo uliodumu kwa miongo kadhaa

Inaelezwa kuwa Waasi wa Jimbo hilo linalotaka kujitenga lililopo Kusini mwa Nchi hiyo wamesababisha vifo vya maelfu ya watu tokea mwaka 1982 katika mapambano na Serikali

................................................

The Senegalese government has signed a peace deal with rebels from the country's southern province of Casamance - which could bring about an end to a decades-long conflict.

The Movement of Democratic Forces of Casamance (MFDC) has pledged to lay down its arms and work towards a permanent solution.

The Senegalese President, Macky Sall, welcomed the agreement and thanked the President of Guinea-Bissau, Umaro Sissoco Embalo, for mediating.

A separatist insurgency by the MFDC has resulted in several thousand deaths since 1982, although the conflict was mostly dormant until Senegal launched a major offensive last year to drive out the rebels

Source: BBC
 
Back
Top Bottom