Nampurukano
JF-Expert Member
- Jul 17, 2015
- 2,143
- 2,872
Wache wajadili kama nchi imefika hapa kwamba ukiwa CCM ni first class citizen na ukiwa chadema ni second class ambaye unaweza kuuwawa na kutupwa kama mzoga wa mbwa na kuliwa na mamba au fisi na waliomadarakani wakaona ni kitu normal tu!Kuna habari nimepenyewezewa sekunde kadhaa zilizo pita na mtu wa uhakika kwamba Seneti ya Marekani ndani ya mwezi huu wanaweza jadili hali y Kisiasa Tanzania na wao kuja na Maazimio yao ambao yanaweza kuwa balaa na kufanya CCM wapoteane.
Kuna Movement zinaefanyika na pia utakunbuka CHADEMA ni chama rafiki wa Chama cha Republican, muungano wa IDU ndio wamefanya hizi harakati hadi kupenyeza hili swala kule Senet.
Maazimio ya Marekani yanaweza kuwa ya kuumiza mno kuliko hata yale ya EU, .make yanaweza amabatana na vikwazo vikari sana kuanzia kwa watu Viongozi hadi nchi kama nchi.
Raisi Samia kashauriwa vibaya sana kwa hili swala. Hii inaenda kutucost sana kama nchi.
kah!Hapo lazima mama atapike karafuu za Unguja
Aisee wewe bado Sana .ngoja Kwanza EU WA vote. Hili sebene kizimkazi anakwenda kulichezaMambo ya Tanzania hayaamuliwa Marekani wala Umoja wa Ulaya. Ni vikao vya kuhalalisha kula posho za taasisi zao tu. Nothing significant, kitakachobadilika. Tanzania ni nchi huru na yenye amani. Na tutaendelea kulinda amani ya nchi hii.Magenge ya mamluki yajipange upya.
kina chiwelesa na mwita waitara watapelea mbali kutumia ushoga kupangua hoja za senetiYupo Wasira na makalla watapangua hoja zote zitakazotolewa na bunge la senet
Hizi ndo habari mnazoshindia kutwa kucha. Lakini msisahau siku zinasonga tu tahamaki 2030 hii hapa na hakuna kilichobadilikaKuna habari nimepenyewezewa sekunde kadhaa zilizo pita na mtu wa uhakika kwamba Seneti ya Marekani ndani ya mwezi huu wanaweza jadili hali y Kisiasa Tanzania na wao kuja na Maazimio yao ambao yanaweza kuwa balaa na kufanya CCM wapoteane.
Kuna Movement zinaefanyika na pia utakunbuka CHADEMA ni chama rafiki wa Chama cha Republican, muungano wa IDU ndio wamefanya hizi harakati hadi kupenyeza hili swala kule Senet.
Maazimio ya Marekani yanaweza kuwa ya kuumiza mno kuliko hata yale ya EU, .make yanaweza amabatana na vikwazo vikari sana kuanzia kwa watu Viongozi hadi nchi kama nchi.
Raisi Samia kashauriwa vibaya sana kwa hili swala. Hii inaenda kutucost sana kama nchi.
uropokaji ni kazi rahisi sana gentleman,
yaani pamoja na matatizo yake yote iliyonayo marekani, iache kushughulikia wananchi wake ibabaike na Tz,
hiyo si nonsense kabisa aise
Umeandika vizuri ila umekuja kuharibu mwishoni ,huyu hashauriwi na mtu,ni ajenda zake za kutaka kuivuruga amani ya Tanganyika baadae yeye akimbilie Oman kwa wajomba zake,Raisi Samia kashauriwa vibaya sana kwa hili swala. Hii inaenda kutucost sana kama nchi.
Basi mnaliwazaaaana wenyewe mshasahau hata habari ya kukinukisha sasa hivi mnawawaza wazungu tu tena mnawaita Malaika wenu. Mnaomba kabisa eti Mungu Wabariki WazunguLazima wajadili, huwezi fanya Jaribio la kumuua KITIMA, na Papa wa Sasa katokea Marekan, alafu Trump akae kimya??.
Na walivyo wapuuzi, mtuhumiwa wao walomkamata ukifika usiku ,wanamrudisha kwake kulala
Kwani Marekani bado wanafadhili?Kuna habari nimepenyewezewa sekunde kadhaa zilizo pita na mtu wa uhakika kwamba Seneti ya Marekani ndani ya mwezi huu wanaweza jadili hali y Kisiasa Tanzania na wao kuja na Maazimio yao ambao yanaweza kuwa balaa na kufanya CCM wapoteane.
Kuna Movement zinaefanyika na pia utakunbuka CHADEMA ni chama rafiki wa Chama cha Republican, muungano wa IDU ndio wamefanya hizi harakati hadi kupenyeza hili swala kule Senet.
Maazimio ya Marekani yanaweza kuwa ya kuumiza mno kuliko hata yale ya EU, .make yanaweza amabatana na vikwazo vikari sana kuanzia kwa watu Viongozi hadi nchi kama nchi.
Raisi Samia kashauriwa vibaya sana kwa hili swala. Hii inaenda kutucost sana kama nchi.
inabidi wananchi watetewe na mabunge ya nje kama wao hawajitetei kwa hofu ya kushughulikiwaNi muda sahihi kwa wananchi na wao kuamka kupaza sauti, isije ikaonekana kwamba wanachi wanaridhia kwa yale yanayoendelea.
Uganda wameifanya nini mpaka sasa?Kuna habari nimepenyewezewa sekunde kadhaa zilizo pita na mtu wa uhakika kwamba Seneti ya Marekani ndani ya mwezi huu wanaweza jadili hali y Kisiasa Tanzania na wao kuja na Maazimio yao ambao yanaweza kuwa balaa na kufanya CCM wapoteane.
Kuna Movement zinaefanyika na pia utakunbuka CHADEMA ni chama rafiki wa Chama cha Republican, muungano wa IDU ndio wamefanya hizi harakati hadi kupenyeza hili swala kule Senet.
Maazimio ya Marekani yanaweza kuwa ya kuumiza mno kuliko hata yale ya EU, .make yanaweza amabatana na vikwazo vikari sana kuanzia kwa watu Viongozi hadi nchi kama nchi.
Raisi Samia kashauriwa vibaya sana kwa hili swala. Hii inaenda kutucost sana kama nchi.
Sasa hivi wanatusaidia sana mpaka kujenga matundu ya vyoo,wanapata nini?Ujinga mlionao wapinzani ni kutegemea msaada kutoka kwa mabeberu sijui mnadhani wao ni wajinga au vichaa wawasaidie bure tu
Hili suala sisi tungeamua wenyeweKuna habari nimepenyewezewa sekunde kadhaa zilizo pita na mtu wa uhakika kwamba Seneti ya Marekani ndani ya mwezi huu wanaweza jadili hali y Kisiasa Tanzania na wao kuja na Maazimio yao ambao yanaweza kuwa balaa na kufanya CCM wapoteane.
Kuna Movement zinaefanyika na pia utakunbuka CHADEMA ni chama rafiki wa Chama cha Republican, muungano wa IDU ndio wamefanya hizi harakati hadi kupenyeza hili swala kule Senet.
Maazimio ya Marekani yanaweza kuwa ya kuumiza mno kuliko hata yale ya EU, .make yanaweza amabatana na vikwazo vikari sana kuanzia kwa watu Viongozi hadi nchi kama nchi.
Raisi Samia kashauriwa vibaya sana kwa hili swala. Hii inaenda kutucost sana kama nchi.
Unaniuliza mimi? Hujui ulipo Ubalozi wa EU au USA ukawaulize? punguza Bange DogoUganda wameifanya nini mpaka sasa?
kituko kipi? Sasa ngojea ndio utajua hujuiMarekani yenyewe imekuwa kituko chini ya utawala wa Trump
Eti Tanzania ni Nchi huru wakati hadi nguo za ndani mlizovaa zinatoka huko huko, sisi hatuna akili hata za kutengeneza njiti ya kuchokonolea meno.Mambo ya Tanzania hayaamuliwa Marekani wala Umoja wa Ulaya. Ni vikao vya kuhalalisha kula posho za taasisi zao tu. Nothing significant, kitakachobadilika. Tanzania ni nchi huru na yenye amani. Na tutaendelea kulinda amani ya nchi hii.Magenge ya mamluki yajipange upya.
Ipo wazi kwamba wananchi wanakuwa kimya kwa kuhofia usalama wao tokana na vyombo vya dola kutumika kisiasa.inabidi wananchi watetewe na mabunge ya nje kama wao hawajitetei kwa hofu ya kushughulikiwa