Senetor wa jiji la Nairobi, Mike Sonko amwaga vyeti vyake mezani watu wa media wavione

Senetor wa jiji la Nairobi, Mike Sonko amwaga vyeti vyake mezani watu wa media wavione

Kuna tofauti kubwa kati ya Sonko na Makonda

Makonda hawezi Onyesha vyeti kwa sababu yeye siyo Mwanasiasa, Mtumishi aombwi vyeti na watu tu alafu na yeye akaonyesha

Mtumishi anaombwa vyeti na boss wake ambaye ni mwajili wake na siyo tu mtu kuandika Facebook au Jamii Forum kuomba vyeti vya mtu akatoa na kuweka kwenye media

Narudia Makonda siyo mwanasiasa ndio maana hawezi onyesha vyeti vyake huu ni mtego mkubwa sana kwake akiyumba akatoa vyeti hadharani basi anafutwa ukuu wa mkoa na mwajili wake
Mkuu makonda ni public figure lazima public ijiridhishe kwamba kiongozi wao hana makando kando msilete usanii kwenye hili toa vyeti win your trust back

Afu mnafanya watoto waome elimu haina maana weka vyeti baba
 
Seneta wa Jiji la Nairobi, Mike Sonko amaliza utata kwa waliomsema kuwa hana vyeti kwa kutoa vyeti vyake vyote hadharani.
eb7e088141396f898df8c6cd38e0e6c1.jpg
5ae5caccf992163d2429e9c7ed24606d.jpg
1f6209ff3db7e94970f2a1586a5d0e1a.jpg
ce28edbcfd7eeac9d72040a17606ee42.jpg
 
kuafanya hivyo tu kunamfanya mtu alie,.. tena tuanataka scanned copy tu
 
Hehehe!! Wakenya hii mada tusikurupuke, hawa Wabongo wameileta kimkakati maana wanamchokoza mkuu wao wa mkoa, siku hizi wanamuita Bashite. Wamekua wakimwomba aonyeshe stakabadhi zake baada ya mhubiri fulani kumtuhumu kwamba alighushi vyeti na kuiba jina la mtu.
 
Back
Top Bottom