Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anavyo sasa!!!?Xtremely simple! Onyesha vyeti.! Hivi hapa
utakuta na ww una mke na watoto alafu hujui mwanasiasa ni nani hovyo kabisa, kwahyo unadhan bashite pale ameajiriwa kwa taaluma yake au?Kuna tofauti kubwa kati ya Sonko na Makonda
Makonda hawezi Onyesha vyeti kwa sababu yeye siyo Mwanasiasa, Mtumishi aombwi vyeti na watu tu alafu na yeye akaonyesha
Mtumishi anaombwa vyeti na boss wake ambaye ni mwajili wake na siyo tu mtu kuandika Facebook au Jamii Forum kuomba vyeti vya mtu akatoa na kuweka kwenye media
Narudia Makonda siyo mwanasiasa ndio maana hawezi onyesha vyeti vyake huu ni mtego mkubwa sana kwake akiyumba akatoa vyeti hadharani basi anafutwa ukuu wa mkoa na mwajili wake
Na bado atazidi kuwanyoosha
Na wafanyakazi wa TRA wanaouza documents za watu nao wanalo, ICT itawanasa.
Kweli wa madawa ya kulevya mpo wengi, now sio vyeti bali mengine ha ha haaaaaaaaaaaaaa
Makonda oyeeeeeee
msamehe mkenya wa watu!receipt?!
Daud Bashite hawezi kuonyesha vyeti kwa sababu hana vyeti anavyotumia ni vya Paul Makonda, watu wanasubiri ajichanganye tu mwenye vyeti aibuliwe.
Mkuu tusaidie basi hata kwa ramli tuone itasemaje kama anavyo au hana tushachoka kumbembeleza tuna mengi ya kufanya kuifikia tz ya viwanda embu tikisa tikisa vibuyu vyako tujue anasingiziwa amaXtremely simple! Onyesha vyeti.! Hivi hapa
Wewe dada,, TRA wanahusika na vyeti vya shule? Utakuwa kagonjwa ka akili wewe!Na bado atazidi kuwanyoosha
Na wafanyakazi wa TRA wanaouza documents za watu nao wanalo, ICT itawanasa.
Kweli wa madawa ya kulevya mpo wengi, now sio vyeti bali mengine ha ha haaaaaaaaaaaaaa
Makonda oyeeeeeee
HAMIA KENYA BASI !Mgombea ugavana jijin Nairobi (half-London of Africa)Michael Sonko Imemlazimu kuonesha vyeti vyake vya kitaaluma kuanzia elimu ya upili mpaka chuo kikuu baada ya kutuhumiwa amegushi vyeti vyake.
Tuhuma hizo zilizozuka siku za karibuni kipindi cha kampeni za uchaguzi mkuu wa Kenya na wapinzan wake kuwa Sonko anatumiia vyeti visivyo halal na kitendo hcho kinatafisiliwa km ukiukwaji wa sheria za uchi na kosa la jinai.
Kwa mfano bora alionesha Sonko pia 2napenda kumshawishi mbabe wa vita mkuu wa mkoa mwenye ushawishi kuliko wote aliyetimiza mwaka m1 wa utumishi uliotukuka,mbunifu,mleta dar mpya aige mfano kutoka kwa Sonko.
Na hapo chini ni attachment vyeti anuai vya Sonko vilivyo fanyiwa uchunguz na idara husika....Zamu yako sasa Watanzania Tunakusubiria Bro.
![]()
![]()
![]()
.....![]()
![]()
Utakuwa hauko soberNa bado atazidi kuwanyoosha
Na wafanyakazi wa TRA wanaouza documents za watu nao wanalo, ICT itawanasa.
Kweli wa madawa ya kulevya mpo wengi, now sio vyeti bali mengine ha ha haaaaaaaaaaaaaa
Makonda oyeeeeeee
Mbona yule mteule waliyemtuhumu alivitoa?Sheria zetu haziruhusu kuonyesha vyeti hadharani.
Ataweka vyeti gani wakati vyeti hana, hapo mnamuonea ngoja nimtetee
Hehehe!! Wakenya hii mada tusikurupuke, hawa Wabongo wameileta kimkakati maana wanamchokoza mkuu wao wa mkoa, siku hizi wanamuita Bashite. Wamekua wakimwomba aonyeshe stakabadhi zake baada ya mhubiri fulani kumtuhumu kwamba alighushi vyeti na kuiba jina la mtu.
JumanneMimi hili suala lifikie mwisho......ingekuwa vyema wanaorusha tuhuma waende mahakamani......nadhani huko ndiko mheshimiwa makonda atakapoumbuliwa kwa mujibu wa sheria.......kwa kuwa inatambulika kuwa kughushia vyeti vya kitaaluma ni kosa kisheria na lina adhabu zake kwa mujibu wa sheria........