Senetor wa jiji la Nairobi, Mike Sonko amwaga vyeti vyake mezani watu wa media wavione

Mkuu makonda ni public figure lazima public ijiridhishe kwamba kiongozi wao hana makando kando msilete usanii kwenye hili toa vyeti win your trust back

Afu mnafanya watoto waome elimu haina maana weka vyeti baba
 
kuafanya hivyo tu kunamfanya mtu alie,.. tena tuanataka scanned copy tu
 
Hehehe!! Wakenya hii mada tusikurupuke, hawa Wabongo wameileta kimkakati maana wanamchokoza mkuu wao wa mkoa, siku hizi wanamuita Bashite. Wamekua wakimwomba aonyeshe stakabadhi zake baada ya mhubiri fulani kumtuhumu kwamba alighushi vyeti na kuiba jina la mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…