Senetor wa jiji la Nairobi, Mike Sonko amwaga vyeti vyake mezani watu wa media wavione

Ataonyesha Nini ? Fa Fa Fa Fa Fa Fa Fa!
 
Aweke hata cha kliniki basi. Huyu Daudi mbona kauzu hivi????
 
utakuta na ww una mke na watoto alafu hujui mwanasiasa ni nani hovyo kabisa, kwahyo unadhan bashite pale ameajiriwa kwa taaluma yake au?
 
Mbona upo nje ya mada.
(Completely opp)
Na bado atazidi kuwanyoosha

Na wafanyakazi wa TRA wanaouza documents za watu nao wanalo, ICT itawanasa.

Kweli wa madawa ya kulevya mpo wengi, now sio vyeti bali mengine ha ha haaaaaaaaaaaaaa

Makonda oyeeeeeee
 
Daud Bashite hawezi kuonyesha vyeti kwa sababu hana vyeti anavyotumia ni vya Paul Makonda, watu wanasubiri ajichanganye tu mwenye vyeti aibuliwe.

mkuu naona unaongea panaposumbua great thinker

muuza cheti yuko wapi?
 
Xtremely simple! Onyesha vyeti.! Hivi hapa
Mkuu tusaidie basi hata kwa ramli tuone itasemaje kama anavyo au hana tushachoka kumbembeleza tuna mengi ya kufanya kuifikia tz ya viwanda embu tikisa tikisa vibuyu vyako tujue anasingiziwa ama
 
Na bado atazidi kuwanyoosha

Na wafanyakazi wa TRA wanaouza documents za watu nao wanalo, ICT itawanasa.

Kweli wa madawa ya kulevya mpo wengi, now sio vyeti bali mengine ha ha haaaaaaaaaaaaaa

Makonda oyeeeeeee
Wewe dada,, TRA wanahusika na vyeti vya shule? Utakuwa kagonjwa ka akili wewe!
 
HAMIA KENYA BASI !
 
Na bado atazidi kuwanyoosha

Na wafanyakazi wa TRA wanaouza documents za watu nao wanalo, ICT itawanasa.

Kweli wa madawa ya kulevya mpo wengi, now sio vyeti bali mengine ha ha haaaaaaaaaaaaaa

Makonda oyeeeeeee
Utakuwa hauko sober
 
Mimi hili suala lifikie mwisho......ingekuwa vyema wanaorusha tuhuma waende mahakamani......nadhani huko ndiko mheshimiwa makonda atakapoumbuliwa kwa mujibu wa sheria.......kwa kuwa inatambulika kuwa kughushia vyeti vya kitaaluma ni kosa kisheria na lina adhabu zake kwa mujibu wa sheria........
 
Ataweka vyeti gani wakati vyeti hana, hapo mnamuonea ngoja nimtetee

Hivi kwanini hili suala wenye ushahidi wasilipeleke mahakamani.....kwani si ina fahamika kuwa hili suala lina adhabu yake kwa mujibu wa sheria.....

Tumechoka kusikia ngonjera za hili sakata......

Ningependa kumuona Makonda akiumbuka mahakamani......
 

Ndugu....nadhani hakuna viumbe wa ajabu kama kama Watanzania......na ndio mtaji wa wanasiasa....kwa kuwa wanasiasa wameshajua kuwa wanaongozwa na mihemko na hisia kuliko uhalisia.........

Ndio maana mpaka leo CCM ipo madarakani hali ya kuwa kila mwaka inashindwa kutekeleza kile wanacho kiahidi......

Hili suala la stakabadhi za huyu bwana liko wazi kabisa.....mimi nadhani hao wanaomtuhumu kuwa ameghushi vyeti na wana ushahidi kwanini huyo mtu aliyefanyiwa hivyo asilipeleke hili suala mahakamani kwenda kupata haki yake....!!? Kwanini limefanywa kuwa mtaji wa wanasiasa....!!??

Je tuamini kuwa wanamsingizia....!!?? Au wanamchafulia jina.....!???

Kughushi vyeti ni kosa kwa mujibu wa sheria....na adhabu zake zipo kwa mujibu wa sheria.......sasa hili suala lisimalizwe....!!??
 
Jumanne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…