johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwanini mpaka twende mahakamani yeye anaona ugumu gani kuonesha mpaka tumpeleke mahakamani?
Wacha maneno mingi weka cheti
Toa ndugu, toa ndugu ulichonachooo....bashite toa vyetu uwazibe watu midomo π π
Salama CocochanelWaterloo za kwenu, upo?
Ndio nimeamua kufungua alerts, naona muda wa kuzisoma sina sababu ya Mh. Makonda kupendwa sana na wana JF hawaachi kuni quote.π
Makonda oyeeee
Salama Cocochanel
Naona Daudi kabanwa kila kona kumbe anachukua Mali za watu. Ile vita ya drugs ni kufanya blackmail ili wampe rushwa
Ukweli umeshajulikana.hatakama asipowajibishwa watanzania tumeshaujua ukweliHaiwezekani na unajua hilo. Mh. Makonda anajitambua sana amejipanga kikazi na hawezi kufanya upupwu. Hata mkulu anamjua sana tabia zake, tabu ni anajaribu. Watu wengi wamebanwa na atazidi hata wa mengi zaidi wataguswa.
Ya vyeti imegonga mwamba, spichi ya 1yr imewaumiza kwa ujasiri wake. Imebidi wasake mengine.
Next ni pichu zao au kitanda wanacholalia? Etc Navyo watasema wanahongwa
Ni vyema lkn sio lazima.That is political willing ,wakati mwingine ni vyema kuwajibu maadui zako kwa njia za wazi ili kuwafunga midomo
Sababu anazo mwenyewe necta hawajapata ushahidi wa kumchukulia hatua.Kwa mtazamo wako unaweza kuniambia ni sababu zipi zinamfanya ashindwe kuonesha mpaka nguvu ya kisheria itumike? Je unadhani ni kwanini Baraza la mitihani halijishughulishi kufuatilia suala hili ikiwa ni wajibu wao kwakuwa taarifa zimetolewa kwenye vyombo vya habari kwamba Paul makonda ametumia cheti cha mtu? Kwanini unadhani ni wananchi wanaopaswa kwenda mahakamani kumshtaki?
Haathiriki na midomo yao.bashite toa vyetu uwazibe watu midomo π π
Walithibitika makonda amethibitika?Nawahurumia wafanyakazi wenzangu walitumbuliwa kisa vyeti sasanwangejua hilo la bashite mapema nahisi wangegoma kun'goka
Vizuri kama umejua.Ukweli umeshajulikana.hatakama asipowajibishwa watanzania tumeshaujua ukweli