Senetor wa jiji la Nairobi, Mike Sonko amwaga vyeti vyake mezani watu wa media wavione

Senetor wa jiji la Nairobi, Mike Sonko amwaga vyeti vyake mezani watu wa media wavione

Seneta Sonko wa Nairobi amemaliza utata uliokuwa unamkabili kuhusiana na elimu yake kwa kuviweka vyeti vyake vyote hadharani.Amesema yeye siyo msomi lakini elimu aliyonayo ameipata kihalali.Ameonyesha vyeti hivyo wakati alipokabidhiwa fomu ya kugombea tena nafasi anayoishikilia na vyeti hivyo kuonyeshwa mubashara kupitia luninga mbalimbali.Je watanzania tunaweza kujifunza jambo lolote jema hapo?!Chanzo Citizen tv
 
Hana jeuri hiyo bashite, Ila ingekuwa kupayuka na kusingizia watu wanauza ngada angefanya Mara moja
 
Wacha maneno mingi weka cheti

Waterloo za kwenu, upo?

Ndio nimeamua kufungua alerts, naona muda wa kuzisoma sina sababu ya Mh. Makonda kupendwa sana na wana JF hawaachi kuni quote.😀

Makonda oyeeee
 
Watu bhana naona lengo lao ni Bashite aone aibu atoe na vyake haha hahaha haha
 
Hapana kwenye serikali ya majimbo kwa ngazi ya mkoa/jiji kunakuwa na Senetor,Gavana na Meya na kila mmoja ana majukum yake kwa nafas yake.
 
Waterloo za kwenu, upo?

Ndio nimeamua kufungua alerts, naona muda wa kuzisoma sina sababu ya Mh. Makonda kupendwa sana na wana JF hawaachi kuni quote.😀

Makonda oyeeee
Salama Cocochanel
Naona Daudi kabanwa kila kona kumbe anachukua Mali za watu. Ile vita ya drugs ni kufanya blackmail ili wampe rushwa
 
Nawahurumia wafanyakazi wenzangu walitumbuliwa kisa vyeti sasanwangejua hilo la bashite mapema nahisi wangegoma kun'goka
 
Salama Cocochanel
Naona Daudi kabanwa kila kona kumbe anachukua Mali za watu. Ile vita ya drugs ni kufanya blackmail ili wampe rushwa

Haiwezekani na unajua hilo. Mh. Makonda anajitambua sana amejipanga kikazi na hawezi kufanya upupwu. Hata mkulu anamjua sana tabia zake, tabu ni anajaribu. Watu wengi wamebanwa na atazidi hata wa mengi zaidi wataguswa.

Ya vyeti imegonga mwamba, spichi ya 1yr imewaumiza kwa ujasiri wake. Imebidi wasake mengine.

Next ni pichu zao au kitanda wanacholalia? Etc Navyo watasema wanahongwa
 
Ukweli umeshajulikana.hatakama asipowajibishwa watanzania tumeshaujua ukweli
 
Kwa mtazamo wako unaweza kuniambia ni sababu zipi zinamfanya ashindwe kuonesha mpaka nguvu ya kisheria itumike? Je unadhani ni kwanini Baraza la mitihani halijishughulishi kufuatilia suala hili ikiwa ni wajibu wao kwakuwa taarifa zimetolewa kwenye vyombo vya habari kwamba Paul makonda ametumia cheti cha mtu? Kwanini unadhani ni wananchi wanaopaswa kwenda mahakamani kumshtaki?
Sababu anazo mwenyewe necta hawajapata ushahidi wa kumchukulia hatua.
 
Back
Top Bottom