johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Seneta Sonko wa Nairobi amemaliza utata uliokuwa unamkabili kuhusiana na elimu yake kwa kuviweka vyeti vyake vyote hadharani.Amesema yeye siyo msomi lakini elimu aliyonayo ameipata kihalali.Ameonyesha vyeti hivyo wakati alipokabidhiwa fomu ya kugombea tena nafasi anayoishikilia na vyeti hivyo kuonyeshwa mubashara kupitia luninga mbalimbali.Je watanzania tunaweza kujifunza jambo lolote jema hapo?!Chanzo Citizen tv