Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Ukisoma upuuzi mwingi humu unaona kabisa hii nchi ni ya hovyo.
Lakini ukipekua na kuwasikiliza wakurugenzi wengi wa wizara na idara za serikali (wanapokuwa wageni waalikwa kwenye mijadala); wengi sio watu wa mchezo kabisa wana technical skills za hizo sector au wizara wa hali ya juu.
Kwanini wanajua sana ni kwa sababu ni hawa pekee ufikia hizo nafafi kupitia appropriate succession planning inavyoonekana.
If you analyse them inaonekana wamesomeshwa na kupewa elimu sahihi ya hizo sector, wanapimwa kwa kuelewa wao wa sheria husika wa hizo sector na implication zake kabla ya kupandishwa nafasi z juu, wanauelewa mpana kuhusu kuzisimamia hizo sector kushinda makatibu wakuu wengi wa wizara (japo ndio mabosi wao kwa sababu raisi anawateua).
Story ni ndefu ila upuuzi ni mwingi zaidi; sort the civil services. Katika nafasi za ushauri wa mawaziri, makatibu wakuu, washauri wa raisi, wasemaji wa idara and other position. Hao watu sio wa mchezo mchezo nchi za wenzetu wanatengenezwa.
Malalamiko mengi ya nchii hii ukisoma unaona msingi wake ni civil inayopwaya, but then kuna system imara isiyo tumika ipasavyo katika kada zingine mainly kwa sababu ya mamlaka ya teuzi ya raisi ambae anaweza okota sakapoko yoyote.
Sasa usalama wa taifa imara auwezi kubali mtu yeyote katika nafasi ya ushauri wa raisi, senior posts za Ikulu, taasisi nyeti za wizara, idara zake zinashikwa na mtu yeyote ambae awajampika wao kwa viwango vya wakurugenzi wa wizara tunavyo viona watu wa nje.
Wakurugenzi wa wizara au idara nyingi za serikali Tanzania sio watu wa mzaha ni serious technocrats.
Last gasp of the dying horse, naanza kuchoka siasa za third word; bora nianze kutumia muda mwingi kwenye dunia ninayoishi.