Senior Civil Services Posts ni serious posts

Senior Civil Services Posts ni serious posts

Mayor Quimby

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2021
Posts
4,950
Reaction score
10,977
Ukisoma upuuzi mwingi humu unaona kabisa hii nchi ni ya hovyo.

Lakini ukipekua na kuwasikiliza wakurugenzi wengi wa wizara na idara za serikali (wanapokuwa wageni waalikwa kwenye mijadala); wengi sio watu wa mchezo kabisa wana technical skills za hizo sector au wizara wa hali ya juu.

Kwanini wanajua sana ni kwa sababu ni hawa pekee ufikia hizo nafafi kupitia appropriate succession planning inavyoonekana.

If you analyse them inaonekana wamesomeshwa na kupewa elimu sahihi ya hizo sector, wanapimwa kwa kuelewa wao wa sheria husika wa hizo sector na implication zake kabla ya kupandishwa nafasi z juu, wanauelewa mpana kuhusu kuzisimamia hizo sector kushinda makatibu wakuu wengi wa wizara (japo ndio mabosi wao kwa sababu raisi anawateua).

Story ni ndefu ila upuuzi ni mwingi zaidi; sort the civil services. Katika nafasi za ushauri wa mawaziri, makatibu wakuu, washauri wa raisi, wasemaji wa idara and other position. Hao watu sio wa mchezo mchezo nchi za wenzetu wanatengenezwa.

Malalamiko mengi ya nchii hii ukisoma unaona msingi wake ni civil inayopwaya, but then kuna system imara isiyo tumika ipasavyo katika kada zingine mainly kwa sababu ya mamlaka ya teuzi ya raisi ambae anaweza okota sakapoko yoyote.

Sasa usalama wa taifa imara auwezi kubali mtu yeyote katika nafasi ya ushauri wa raisi, senior posts za Ikulu, taasisi nyeti za wizara, idara zake zinashikwa na mtu yeyote ambae awajampika wao kwa viwango vya wakurugenzi wa wizara tunavyo viona watu wa nje.

Wakurugenzi wa wizara au idara nyingi za serikali Tanzania sio watu wa mzaha ni serious technocrats.

Last gasp of the dying horse, naanza kuchoka siasa za third word; bora nianze kutumia muda mwingi kwenye dunia ninayoishi.
 
Wewe huku shangaa mtangazaji wa clouds anapewa ukurugenzi wa wilaya?

Hata vimada utasikia wamekuwa wakurugenzi

Hivi huko wilayani na manispaa hakuna maafisa wakuu wa kilimo,mifugo,elimu ,Afya wakapewa ukurugenzi ambao wanafahamu kazi?

Kwanini uteue wachekeshaji na unaacha senior officials

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe huku shangaa mtangazaji wa clouds anapewa ukurugenzi wa wilaya?

Hata vimada utasikia wamekuwa wakurugenzi...
Kwakweli inasikitisha, hizo below per performance zinaonekana.

Shida ni kwamba serikalini wana appraisal system yao ambayo imara mno inaonekana.

Kama wanaweza tengeneza wakurugenzi wa wizara na idara sensitive za serikali imara vile. Basi wanaweza fanya succession planning imara sehemu zote.

Yaani kwa sasa ni wakurugenzi tuu ndio technocrat kwengine wanaikota tu, hakuna nchi duniani inaweza okota afisa habari let asiwe afisa usalama ila kutoka nje ya nchi kabisa only in Tanzania.

Binafsi mambo yanayoniboa kuna malalamiko ni ya kisheria hila huko TAMISEMI wamezembea; halafu mamlaka nyingine ya usimamizi ikisimamia wananchi wanadhani wanaonewa.

Sasa mzizi wa uzembe kama huu ni makatibu wakuu wizara na chain ya nzima ya TAMISEMI mpaka serikali ya mtaa.

Hao watu wanafika vipi kwenye hizo nafasi poor succession planning.
 
Saidia nchi yako.. acha kulalamika tu... kama hujui kuweka nondo oops labda hauna..

Bora ukae huko huko...
Ndio kusaidia kwenye huku.

Ukitaka kulielewa jambo kwa kina wasikilize wakurugenzi wa Ikulu na baadhi ya Idara kadhaa.

They know their staff kushinda ata makatibu wakuu wengi wa nchii. Usijali kuhusu mawaziri wao sio tencho-crats.

Shida ni kwamba hii system inaharibikia wapi at top level. Kwa sababu senior admin ya wizara; kwenda juu washauri mbali mbali wa wizara, personal secretary wa waziri na permanent secretary ndio kabisa wanatakiwa kuwa na uelewa mpaka kushinda huyo mkurugenzi.

Ukisema Ikulu standards zake za watu hao hao wanatakiwa kuwa vipanga zaidi wakati walipokuwa shule.

Kuna malalamiko unasoma sheria ipo wazi; unajiuliza wakati hizo sheria zinavunjwa wahusika walikuwa wapi.
 
Wewe huku shangaa mtangazaji wa clouds anapewa ukurugenzi wa wilaya?

Hata vimada utasikia wamekuwa wakurugenzi

Hivi huko wilayani na manispaa hakuna maafisa wakuu wa kilimo,mifugo,elimu ,Afya wakapewa ukurugenzi ambao wanafahamu kazi?

Kwanini uteue wachekeshaji na unaacha senior officials


Sent using Jamii Forums mobile app
Nchi hii ina mambo ya kijinga sana. Huu upuuzi ulizidi kiwango
 
Back
Top Bottom