Senior Dave wa Kenya ni mfichua maovu au muigizaji?

Senior Dave wa Kenya ni mfichua maovu au muigizaji?

GoldDhahabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2023
Posts
7,189
Reaction score
10,375
Kama ni uigizaji, atakuwa amevuka mipaka. Ni kuichafua nchi yake na raia wa Kenya kwa ujumla.

Lakini kama ni matukio ya kweli, anastahili pongezi. Ni ushushu wa hali ya juu.

Katika clips zake za matukio mawili niliyoyaangalia leo, nimeshindwa kuelewa kama ni matukio halisi au ni ya kutungwa. Nimeachwa njia panda na comments za Wakenya wengi zinazoonesha kama vile ni matukio ya kweli. Lakini kila nikijaribu kutafakari, nashindwa kuamini kama hayo yanaweza kutukia kwenye Jamii ya watu waliostaarabika.

Video zilizonistaajabisha:
1. Bishop Gigi wa Kenya
Inamhusu mtu anayejiita Bishop Gigi ambaye ni wa imani potofu. Huwasaidia watu kupata hela, hasa wanawake baada ya kuzini nao na kuwatoa ndugu zao kafara. Inasadikika ni member wa freemason.

2. Lecturer Macharia
Huwaua wanafunzi wake wa kike anaozini nao na kuwatupa mtoni ili kupoteza ushahidi. Ana wanafunzi wake anaowalipa kwa ajili ya hiyo kazi ya kwenda kuwatupa mtoni waathirika.

Ikiwa ni kweli ni mfichua maovu, ni vizuri akapewa ushirikiano mzuri na vyombo vya dola. Lakini kama nj maigizo, athibitiwe asiipotoshe jamii.
 
Bishop Gigi
 

Attachments

  • Kimemramba😭We_snaitized_Bishop_Gigi😭He_is_married_and_kîll_women_after_sleeping_with_them😭😭(14...mp4
    43.9 MB
  • BISHOP_GIGI_GOD_HAVE_MERCY_FOR_ON_US💔WHY_SACRIFICE_PEOPLE_⁉️__GOD_COVER_MOTHER_IN_LAW__SENIOR_...mp4
    6.2 MB
  • SHAKAHOLA_NYINGINE_KENYA💔_BISHOP_GIGI_AND_BISHOP_WANJIRU_SIRI_ZAO_ZIMETOMBOKA_‼️_SENIOR_DAVE(1...mp4
    6 MB
Wanafunzi wa lecturer mwuaji
 

Attachments

  • They_bribed_officer_mark_with_20_million_to_leave_the_case😭failure_to_that_utajua_sisi_ni_nani...mp4
    27.3 MB
Back
Top Bottom