Ninavyojua shule zinafungwa tarehe 27 mwezi huu watoto wajiandae kuhesabiwa.
Hii ya baadhi ya shule binafsi kuwabakiza watoto wa kidato cha nne halafu kuwaambia waongeze ada kwa ajili hiyo imekaaje? Tena bila kuwashirikisha wazazi?
Mimi naona kila mtu aheshimu maamuzi ya Serikali kama hawajamaliza silabasi ni kosa Lao na siyo la mzazi. Tena bado kuna muda wa kutosha kufidia na watoto wanahitaji mapumziko.
Aidha kuweka ada juu ya ada iliyokuwepo ni kumtesa mzazi