Sensa 2022: Inakuwaje baadhi ya shule zinataka kubakiza shuleni Wanafunzi wenye mitihani ya Taifa?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanafunzi na waalimu tupo hoi shule hazijafungwa tangu January tuheshimu ratiba ya serikali kufunga likizo mwezi huu. Hii TABIA ya kuwabakisha form four na form two kwa kisingizio kadhaa halafu kuwaombea waongeze ada siyo ya kizalendo ni kuwachocha sana watoto na waalimu kwa tamaa zenu za pesa wala siyo Ubuntu.

Mbona bado kuna muda wa kutosha? Wizara tunaomba mkemee hilo tarehe 27 mwezi huu wote wafunge shule.
We ulivyofika madarasa hayo muda wa likizo ulibakia shuleni na walimu wako hawakulalamika Leo we ndo unashikia bango kiasi hiki ?
 
Wanafunzi na waalimu tupo hoi shule hazijafungwa tangu January tuheshimu ratiba ya serikali kufunga likizo mwezi huu. Hii TABIA ya kuwabakisha form four na form two kwa kisingizio kadhaa halafu kuwaombea waongeze ada siyo ya kizalendo ni kuwachocha sana watoto na waalimu kwa tamaa zenu za pesa wala siyo Ubuntu.

Mbona bado kuna muda wa kutosha? Wizara tunaomba mkemee hilo tarehe 27 mwezi huu wote wafunge shule.
Upo hoi peke yako mbona mimi mwalimu mwenzio nipo sawa tu...
Naomba Serikali utuache tuwasaidie hawa watoto ili wafanye vizuri kwa faida ya nchi yetu.
 
Back
Top Bottom