REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 4,664
- 9,929
Siyo kumkaririsha Kuna vitu unatakiwa ujue Katika kusomaKumkaririsha
1. Kufundisha Kuna ujuzi wake na kutunga maswali Kuna ujuzi wake
Tunaposema mwanàfunzi asolve past paper lengo ajijengee uwezo wa kuyajua maswali yanavyotungwa kutoka katika mada alizosoma, hii humfanya kuzoea mitihani na kujubu kwa ufasaha zaidi maswali na kufanya ajue asome nini
Na ndio maaana Kuna watu wanaelewa saña masomo darasani na wanajibu maswali vizuri mwalimu akiwa anafundisha ila ukimpa mtihani anaferi kwa sababu gani hana ujuzi wa kutambua maswali yapoje na yanajibiwaje