Yaani hapa serikali hakika ilichemka kuweka sensa mwezi wa nane.., jambo hili tayari limesha athiri taaluma maana mwezi wa sita watu wamezoea mapumziko na wengine kwenda kuandaa mashambaSensa ingefanyika mwezi.wa sita wakati shule zimefungwa kusingekuwa na matatizo yooote hayo. Ratiba zingeenda vizuri sana lakini mipigaji imekaa ofisini sensa agosti shenzi type.
Sijui kwanini kitaifa hawajaliona hili wamesababisha wanafunzi na walimu kuchoka sana ujinga mtupu.Yaani hapa serikali hakika ilichemka kuweka sensa mwezi wa nane.., jambo hili tayari limesha athiri taaluma maana mwezi wa sita watu wamezoea mapumziko na wengine kwenda kuandaa mashamba
Kweli shule nyingi wamemaliza syllabus mkuu.Tatizo nikwamba kwa aina ya wanafunzi wengi wa kitanzania,hasa wa shule za msingi hawawezi kujisomea wenyew nyumbn.September wakirudi wengi vichwa vitakua vimefuta kila kitu.Hapo ukumbuke ana wiki3 afanye nectaKwa madarasa ya mitihani naimani shule nyingi wameshamaliza syllabus kinachofuta ni narudio kwaiyo huu ni mda mzuri kwa mwanao ukamtafutia past paper akawa ana solve uku anafanya masahihisho www.maktaba.tz inaweza kusaidia
Sensa hata ikiwa mwezi wa8 hakuna shida mkuu.Serikali ilitakiwa iache mihula vile vile,yaani likizo iwe mwezi June.Mabadiliko walitakiwa wayafanye huo mwezi wa8.Mfano ile likizo fupi ya mwez September wangeirudisha iwe mwezi wa8 ili kipindi hicho watoto wawe nyumbn.Yaani hapa serikali hakika ilichemka kuweka sensa mwezi wa nane.., jambo hili tayari limesha athiri taaluma maana mwezi wa sita watu wamezoea mapumziko na wengine kwenda kuandaa mashamba
Sensa ingefanyika mwezi.wa sita wakati shule zimefungwa kusingekuwa na matatizo yooote hayo. Ratiba zingeenda vizuri sana lakini mipigaji imekaa ofisini sensa agosti shenzi type.
Usichokijua ni vyema kuuliza. Sensa ina tarehe zake kulingana na sensa iliyopita la sivyo inakuwa ni kama survey maana uta ‘polorate’. Hivyo hawajafanya makosa na ujue kwa kawaida inatakiwa watu wasitoke Majumbani mwao siku hiyo hadi zoezi likamilike.Yaani hapa serikali hakika ilichemka kuweka sensa mwezi wa nane.., jambo hili tayari limesha athiri taaluma maana mwezi wa sita watu wamezoea mapumziko na wengine kwenda kuandaa mashamba
Wengi tumepata kitu hapa..shukrani sana.Usichokijua ni vyema kuuliza. Sensa ina tarehe zake kulingana na sensa iliyopita la sivyo inakuwa ni kama survey maana uta ‘polorate’. Hivyo hawajafanya makosa na ujue kwa kawaida inatakiwa watu wasitoke Majumbani mwao siku hiyo hadi zoezi likamilike.
Kwa ufahamu tu: kwanini mashule hasa ya bweni ni muhimu kufungwa. Unajua hii inaitwa Population and housing census. Population ni head count (idadi ya watu) hapa serikali inataka kujua ina watu wangapi ili iwapangie mipango madhubuti ya maendeleo. Kuhusu Housing hapa serikali inaoenga kujua wastani wa watu kwa kila kaya. Hii ina faida gani? Hapa serikali inalenga kujua ni wastani wa watu wangapi kwa kila kaya ili kwa mfano kukiwa na njaa, serikali iwahudumie vipi. Itakuwa inajua kuwa ina kaya ngapi na kwenye kaya kuna watu wangapi ili ikitoa unga waweze kuishi.
Mabweni ni ‘collective household’ ambazo katika mahesabu ya wastani zinachinjiwa baharini. Hivyo utakuta wastani wa kaya unakuwa ni mdogo na hapo madhara yake kwa Raia ni makubwa.
Ni vyema tukatafuta elimu badala ya kubisha au kulaumu
Shukran mkuuUsichokijua ni vyema kuuliza. Sensa ina tarehe zake kulingana na sensa iliyopita la sivyo inakuwa ni kama survey maana uta ‘polorate’. Hivyo hawajafanya makosa na ujue kwa kawaida inatakiwa watu wasitoke Majumbani mwao siku hiyo hadi zoezi likamilike.
Kwa ufahamu tu: kwanini mashule hasa ya bweni ni muhimu kufungwa. Unajua hii inaitwa Population and housing census. Population ni head count (idadi ya watu) hapa serikali inataka kujua ina watu wangapi ili iwapangie mipango madhubuti ya maendeleo. Kuhusu Housing hapa serikali inaoenga kujua wastani wa watu kwa kila kaya. Hii ina faida gani? Hapa serikali inalenga kujua ni wastani wa watu wangapi kwa kila kaya ili kwa mfano kukiwa na njaa, serikali iwahudumie vipi. Itakuwa inajua kuwa ina kaya ngapi na kwenye kaya kuna watu wangapi ili ikitoa unga waweze kuishi.
Mabweni ni ‘collective household’ ambazo katika mahesabu ya wastani zinachinjiwa baharini. Hivyo utakuta wastani wa kaya unakuwa ni mdogo na hapo madhara yake kwa Raia ni makubwa.
Ni vyema tukatafuta elimu badala ya kubisha au kulaumu
Kusema za ukweli napenda kujifunza kutoka hapa JF na kama ninaachojua ningependa kufahamishana. Ila huwa napenda kutaniana na watu kama Erythrocyte au cocastic . Kuhusu sensa nawezWengi tumepata kitu hapa..shukrani sana.
Yalichungulia yakaona MWENGE WA UHURUSensa ingefanyika mwezi.wa sita wakati shule zimefungwa kusingekuwa na matatizo yooote hayo. Ratiba zingeenda vizuri sana lakini mipigaji imekaa ofisini sensa agosti shenzi type.
Usichokijua ni vyema kuuliza. Sensa ina tarehe zake kulingana na sensa iliyopita la sivyo inakuwa ni kama survey maana uta ‘polorate’. Hivyo hawajafanya makosa na ujue kwa kawaida inatakiwa watu wasitoke Majumbani mwao siku hiyo hadi zoezi likamilike.
Kwa ufahamu tu: kwanini mashule hasa ya bweni ni muhimu kufungwa. Unajua hii inaitwa Population and housing census. Population ni head count (idadi ya watu) hapa serikali inataka kujua ina watu wangapi ili iwapangie mipango madhubuti ya maendeleo. Kuhusu Housing hapa serikali inaoenga kujua wastani wa watu kwa kila kaya. Hii ina faida gani? Hapa serikali inalenga kujua ni wastani wa watu wangapi kwa kila kaya ili kwa mfano kukiwa na njaa, serikali iwahudumie vipi. Itakuwa inajua kuwa ina kaya ngapi na kwenye kaya kuna watu wangapi ili ikitoa unga waweze kuishi.
Mabweni ni ‘collective household’ ambazo katika mahesabu ya wastani zinachinjiwa baharini. Hivyo utakuta wastani wa kaya unakuwa ni mdogo na hapo madhara yake kwa Raia ni makubwa.
Ni vyema tukatafuta elimu badala ya kubisha au kulaumu
Mkuu shukrani kwa maelezo mazuri naomba kuuliza hapo unaposema kuwa..."na ujue kwa kawaida inatakiwa watu wasitoke Majumbani mwao siku hiyo hadi zoezi likamilike..." hapo itakuaje kwa waajiriwa binafsi na wajasiriamali? Wasipotoka watakula nini?Wengi tumepata kitu hapa..shukrani sana.
Usichokijua ni vyema kuuliza. Sensa ina tarehe zake kulingana na sensa iliyopita la sivyo inakuwa ni kama survey maana uta ‘polorate’. Hivyo hawajafanya makosa na ujue kwa kawaida inatakiwa watu wasitoke Majumbani mwao siku hiyo hadi zoezi likamilike.
Kwa ufahamu tu: kwanini mashule hasa ya bweni ni muhimu kufungwa. Unajua hii inaitwa Population and housing census. Population ni head count (idadi ya watu) hapa serikali inataka kujua ina watu wangapi ili iwapangie mipango madhubuti ya maendeleo. Kuhusu Housing hapa serikali inaoenga kujua wastani wa watu kwa kila kaya. Hii ina faida gani? Hapa serikali inalenga kujua ni wastani wa watu wangapi kwa kila kaya ili kwa mfano kukiwa na njaa, serikali iwahudumie vipi. Itakuwa inajua kuwa ina kaya ngapi na kwenye kaya kuna watu wangapi ili ikitoa unga waweze kuishi.
Mabweni ni ‘collective household’ ambazo katika mahesabu ya wastani zinachinjiwa baharini. Hivyo utakuta wastani wa kaya unakuwa ni mdogo na hapo madhara yake kwa Raia ni makubwa.
Ni vyema tukatafuta elimu badala ya kubisha au kulaumu
Na wa mikoani ambao hawana computer hata wapo wa dar wasio na uwezo huo. Hapo vipi?Kwa madarasa ya mitihani naimani shule nyingi wameshamaliza syllabus kinachofuta ni narudio kwaiyo huu ni mda mzuri kwa mwanao ukamtafutia past paper akawa ana solve uku anafanya masahihisho www.maktaba.tz inaweza kusaidia
Unajua Kodi haikusanywi sababu ya kutokuwa serious na ukusanyaji wa takwimu hasa za sensa na matumizi sahihi ya takwimu. Na nchi ambayo huwa haitumii takwimu huwa haikusanyi kodi kama Tanzania. Ndiyo maana budget hii wanaweka tozo ijayo Wanaondoa. I can assure you, kama wizara ya fedha ingalikuwa inatumia takwimu za sensa kiuhalisia, kodi ingelipika bila matatizo. Tuyaache tuendelee kupuyanga tuShukran mkuu
Sijui kama mwenye sensa yake atasema hivyo! Kumbuka sensa na ya Mkuu wa nchi. Kama ilivyo bajeti ni ya mkuu wa nchi ingawa inasomwa na Waziri wa Fedha. Ofisi ya Taifa ya Takwimu kazi yake ni kutoa Technical Support tu.Mkuu shukrani kwa maelezo mazuri naomba kuuliza hapo unaposema kuwa..."na ujue kwa kawaida inatakiwa watu wasitoke Majumbani mwao siku hiyo hadi zoezi likamilike..." hapo itakuaje kwa waajiriwa binafsi na wajasiriamali? Wasipotoka watakula nini?
23/08/2022Sijui kama mwenye sensa yake atasema hivyo! Kumbuka sensa na ya Mkuu wa nchi. Kama ilivyo bajeti ni ya mkuu wa nchi ingawa inasomwa na Waziri wa Fedha. Ofisi ya Taifa ya Takwimu kazi yake ni kutoa Technical Support tu.
Msaidizi wa kuratibu sensa huwa ni coordinator wa Population Policy ambayo zamani ilikuwa Tume ya Mipango ambayo kwa majonzi makubwa Dr Mpango aliiua na kuzawadiwa umakamu! Hayo tuyaache. Kwa sasa Mratibu ni Afisi ya Waziri Mkuu (Ndiyo maana Mwenyekiti wa Kitaifa wa Sensa ni Waziri Mkuu)!
Kujibu swali lako, ni kuwa kuna exceptions mfano madaktari, manesi, Polisi, wagonjwa na huduma nyinginezo muhimu lazima ziendelee ila wanaacha taarifa zako majumbani mwao. Kuna kitu kinaitwa usiku wa sensa (yaani fulani alilala wapi usiku wa sensa) hii ni muhimu maana kiukweli sensa itakuwa ni saa 6 na dakika moja usiku tarehe 22/06/2022 (kwetu ambao hatukuenda shule) au kwa nyie wasomi saa 6 na dakika moja kuamkia tarehe 23/06/2022. Ndiyo maana wahesabuji (enumerators) wanaanza kazi saa 6 usiku.
Shughuli za muhimu lazima ziendelee na wanaoondoka wanaacha taarifa zao majumbani. Nisamehe bure nawachosha
KumkaririshaKwa madarasa ya mitihani naimani shule nyingi wameshamaliza syllabus kinachofuta ni narudio kwaiyo huu ni mda mzuri kwa mwanao ukamtafutia past paper akawa ana solve uku anafanya masahihisho www.maktaba.tz inaweza kusaidia