Sensa 2022: Inakuwaje baadhi ya shule zinataka kubakiza shuleni Wanafunzi wenye mitihani ya Taifa?

Kumkaririsha
Siyo kumkaririsha Kuna vitu unatakiwa ujue Katika kusoma
1. Kufundisha Kuna ujuzi wake na kutunga maswali Kuna ujuzi wake

Tunaposema mwanàfunzi asolve past paper lengo ajijengee uwezo wa kuyajua maswali yanavyotungwa kutoka katika mada alizosoma, hii humfanya kuzoea mitihani na kujubu kwa ufasaha zaidi maswali na kufanya ajue asome nini

Na ndio maaana Kuna watu wanaelewa saña masomo darasani na wanajibu maswali vizuri mwalimu akiwa anafundisha ila ukimpa mtihani anaferi kwa sababu gani hana ujuzi wa kutambua maswali yapoje na yanajibiwaje
 
Na wa mikoani ambao hawana computer hata wapo wa dar wasio na uwezo huo. Hapo vipi?
Usipende kutafuta ugumu wa jambo kwa Kila jambo, Dunia haipo hivyo badilisha mtazamo wako katika kutatua changamoto zinazokukabili kuwa chanya mda wote usiwe hasi
 
Sensa ingefanyika mwezi.wa sita wakati shule zimefungwa kusingekuwa na matatizo yooote hayo. Ratiba zingeenda vizuri sana lakini mipigaji imekaa ofisini sensa agosti shenzi type.
Ndo ujue uwezo wa kufikIri wa viongozi wetu ni mdogo, kingine watoto wangehesabiwa huko huko mashuleni kulikuwa na shida gani? Au wanapima na dna kabisa?
 
This is just THEORY....
Nothing out of this....
Ila..
Tuhesabiwe kwa ajili ya paper work.
 
Mkuu ina maana siku ya sensa kila kitu kitasimama, mfano wasafiri mikoani, daladala, pia kuna wagonjwa hospitalini je watahesabiwa vipi,
Naomba ufafanuzi kama wafahamu tafadhali
 
Mkuu ina maana siku ya sensa kila kitu kitasimama, mfano wasafiri mikoani, daladala, pia kuna wagonjwa hospitalini je watahesabiwa vipi,
Naomba ufafanuzi kama wafahamu tafadhali
Hili Mkuu nimelijibu hapo juu. Si kuwa shughuli muhimu zisimame lazima maisha yaendelee ila kama ni shughuli ambayo inaweza kuvumilika inasimama.
 
This is just THEORY....
Nothing out of this....
Ila..
Tuhesabiwe kwa ajili ya paper work.
Barikiwa maana jambo usilolijua huwezi kulielewa, hata kwetu watu kama wewe wapo
 
Mtu huhesabiwa alipolala na kuamkia, sio lazima ahesabiwe nyumbani. Siku ya sensa kuna watu watakuwa mahabusu, hospitali, magerezani, jeshini nk. Hao wanafunzi watahesabiwa ondoa wasi. Hii si enzi ya kuzaliwa yesu ambapo watu walirudi kwenye Koo zao kuhesabiwa.
 
Unafungua shule July katikati halafu unafunga august mwanzoni?

Huo si usumbufu?

Watavunja likizo ya september waongeze ile ya december.
 
Kusema za ukweli napenda kujifunza kutoka hapa JF na kama ninaachojua ningependa kufahamishana. Ila huwa napenda kutaniana na watu kama Erythrocyte au cocastic . Kuhusu sensa nawez
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wee haya.
 
Ahsanteeee kwa somo.
 
Kwani likizo ya mwezi wa 6 na hiyo Ina tofauti gani?
 
Wanafunzi na waalimu tupo hoi shule hazijafungwa tangu January tuheshimu ratiba ya serikali kufunga likizo mwezi huu. Hii TABIA ya kuwabakisha form four na form two kwa kisingizio kadhaa halafu kuwaombea waongeze ada siyo ya kizalendo ni kuwachocha sana watoto na waalimu kwa tamaa zenu za pesa wala siyo Ubuntu.

Mbona bado kuna muda wa kutosha? Wizara tunaomba mkemee hilo tarehe 27 mwezi huu wote wafunge shule.
 
"wizara tunaomba mkeemee hilo.tarehe 27 mwezi huu wote wafanye shule"

Hapa sijaelewa inaepekea ulipofika hapa jazba zikazidi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…