Wanafunzi na waalimu tupo hoi shule hazijafungwa tangu January tuheshimu ratiba ya serikali kufunga likizo mwezi huu. Hii TABIA ya kuwabakisha form four na form two kwa kisingizio kadhaa halafu kuwaombea waongeze ada siyo ya kizalendo ni kuwachocha sana watoto na waalimu kwa tamaa zenu za pesa wala siyo Ubuntu.
Mbona bado kuna muda wa kutosha? Wizara tunaomba mkemee hilo tarehe 27 mwezi huu wote wafunge shule.